Na hii inasikitisha sana yaani unapewa adhabu kwa kuwa wewe umemsikiliza Mkeo

Na hii inasikitisha sana yaani unapewa adhabu kwa kuwa wewe umemsikiliza Mkeo

Hilo tunda ni uch.i...

Eva hajapewa tunda - tunda analo tayari kazaliwa nalo...

Kafundishwa kugongwa na Lucifer...
Kama kula tunda siyo dhambi njoo tuyafute mapenzi, kifutio ninacho...
Kwahiyo lucifer anaingia kwenye list ya kimasihara 😂😂😂

Maandiko yamempotray mwanamke kuwa kiube hatari, mvurugaji mipango.
 
Hilo tunda ni uch.i...

Eva hajapewa tunda - tunda analo tayari kazaliwa nalo...

Kafundishwa kugongwa na Lucifer...
Kama kula tunda siyo dhambi njoo tuyafute mapenzi, kifutio ninacho...
Haha duuh mkuu unatufundisha nini sisi huku Sunday School hatukufundishwa hivyo unajua
 
Haha duuh mkuu unatufundisha nini sisi huku Sunday School hatukufundishwa hivyo unajua
Hamuwezi mkaambiwa ukweli, za kuambiwa changanya na za kwako...

Kwa nini wajifiche na kuzipa sehemu zao za siri, wamejuaje kama zile ni sehemu za siri, kwa nini wasifiche videvu...
 
By the way iv unadhani wakati Mungu anaumba sijui ulimwengu na huyo shetani hakujua kuwa anaumba kiumbe ambacho kitakuja kuipotosha dunia ,

Ukisoma sana kwenye bible kuna sehem imeandikwa
Nawajua walio wangu toka kuumbwa kwa ulimwengu.
Nakujua toka.ukiwa tumboni mwa mama yako.

Hapa ina maanisha kuwa anajua jambo kabla halijatokea, ila kwanini ana ruhusu?
😀
Hapo hata mimi nilikua nasubiri utoe jibu kwanini anaruhusu yaan anatega kwanza ukitibua unachezea mboko
 
Kuna maswali mengi ambayo walio na uwezo wa kusoma na kuielewa biblia labda wanaweza wakatujibu tukaelewa wote.
Pamoja na Mungu kumfukuza Shetani katika utawala wake, lakini bado alimpa access ya kuingia bustanini alikokua Adam na Hawa.
Kama Mungu hakutaka tunda liliwe kwa nini shetani alimpa access ya bustanini akijua wazi atamdanganya Hawa??
 
Back
Top Bottom