Na hii inasikitisha sana yaani unapewa adhabu kwa kuwa wewe umemsikiliza Mkeo

Na hii inasikitisha sana yaani unapewa adhabu kwa kuwa wewe umemsikiliza Mkeo

Kuna maswali mengi ambayo walio na uwezo wa kusoma na kuielewa biblia labda wanaweza wakatujibu tukaelewa wote.
Pamoja na Mungu kumfukuza Shetani katika utawala wake, lakini bado alimpa access ya kuingia bustanini alikokua Adam na Hawa.
Kama Mungu hakutaka tunda liliwe kwa nini shetani alimpa access ya bustanini akijua wazi atamdanganya Hawa??
Hakika maswali ni mengi ya kujiuliza iliwezekanaje?
 
Yes Adam hakuikuta ya Eva Bikra maana Eva alipotoka alikua kashatolewa...

Adam ni kumbe Cha kwanza duniani kutokujua bikra opoje...
Duuh mkuu unamaanisha kweli kabisa au hujamaanisha kwamba Adam alikuta manyoya tu?
 
Yes Adam hakuikuta ya Eva Bikra maana Eva alipotoka alikua kashatolewa...

Adam ni kiumbe Cha kwanza duniani kutokujua bikra opoje...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
kwa nilivyowahi kuwaza haya mambo kuna mawili
1. Utii.
2. Au tupo kwenye matrix.

Kuna sehem kwenye bible sijui ni ayubu au nani aliliwa anamuiliza Mungu maswali, Mungu nae akaanza kumuuliza maswali, jamaa akapiga kimya alikosa cha kujibu😂

Unadhani Mungu hajui kuwa watu wana maswali juu yake ?, yeye ndie karuhusu uwaze kuhusu yeye😂

Uwezo wetu wa kufikilia unapokomea ndio wake uwezo wake unapoanzia.
Hapo kwenye Matrix hapo emu fufanua tena
 
Kuna mtu mmoja alikuwa akitembea pembezoni mwa bahari yaani ufukweni, wakati anatembea huku akiwaza sana kuhusu Mungu , gafla alimuona mtoto mdogo

Mtoto huyo alikuwa akichota maji ya bahari kidogo kidogo akihamishia kwenye ka shimo alikokua amekachimba, yule jamaa alifika karibu akamuuliza wewe mtoto iv unadhani kwa akili yako haya maji unaweza kuchota yote na kuyahamishia humu.

Yule mtoto akamjibu pia unadhani kwa akili zako za kibinadamu unaweza kumfikilia Mungu ?, 😂.
 
Nyoka anayezumgumziwa hapo ni kiungo cha sehemu za siri za binadamu wa kiume...

Kosa la Eve ni kucheat na nyoka wa tofauti mapema...
Sasa kama nyoka ndio maana yake hivyo, kwanini muumbaji alipotoa laana ilikua ni laana ya nyoka kabisa huyu huyu nyoka sio dushe

Kwamba atakua adui wa binadamu, atamn'gata kisigino nae binadamu atamponda kichwani na mawe. Sasa mbona kalaaniwa kweli
 
Nyoka anayezumgumziwa hapo ni kiungo cha sehemu za siri za binadamu wa kiume...

Kosa la Eve ni kucheat na nyoka wa tofauti mapema...
Duuh kwa hio nyoka huyo ni kiungo gani mkuu?
 
Back
Top Bottom