Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka

Wachaga wana dini zao siyo hiyo uliyoitaja wewe. Hakuna aliyekasirika ila nakushangaa unapotumia ukristo kwenye hoja ambayo haihitaji ukristo.
Ukristu unahitajika sana kwa kuwa wakristu wamejimilikisha hawa waisraeli wazungu wakidhani ukiwa mkristu una undugu nao pamoja na udhalimu wao
 
Wewe nawe huna lolote na hadithi zako za kukopi
 
mbona mnapenda kujitesa Sana,
uipende au uichukie huwezi badilisha chochote baki tu kuwa mlimwengu
 
Unasemaje wapelistina sio wakazi wa hilo eneo?
 
Bado watu wengi hawana ufahamu kuhusu Arabs, Islam, Israel, Palestine, Iran, Russia, world wars, Saudis, Christianity, China, hii ndio kete ambayo wazungu wanatumia kutawala Dunia.
 
Sawa Mimi mpagani wewe mwenye dini unanufaika na nini
Hii ndo hoja sasa, sio kutunafikia humu ndani karbu chamani.
Afu siku ingine ukishajijua we huamin uwepo wa Mungu,Yesu,Muddy au Dini usisumbue jamii kaa kwa kutulia.
 
Acha uongo lahaja za kiebrania na kiarabu ni lahaja mbili tofauti kabisa
 
Wewe nawe huna lolote na hadithi zako za kukopi
Hahaha sa kuna hadith za fake mbona mnazipenda na mnazitumia, nikija na story za kweli mnazikataa, mkristo hawezi kukubali ukweli sababu anatembea na shetani, we hujui kuwa msalaba umelaniwa.

Hebu kasome bibilia yako vizuri mtu aliye tundikwa msalabani ni nani? Utapata jibu.
 
Wewe unaweka mawazo yako ila Mimi nakuthibitishia uislamu ni dini ya shetani kupitia kuluwani yako
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Swali nani ni adui wa Jibril?
 
Huogopi kumchukia mtu ambaye hata hujawahi kukutana naye?

Ubaya wa mtu mmoja au wachache kamwe usikufanye uwachukie wasiohusika.

Israeli wana sababu zao za msingi, Wapalestina nao. Kitu cha msingi tuwatakie amani.
Uko sahihi mkuu!
 
Hahaha kwani hakuna waongo wanao sema aliye shusha Qur'an sio Gabriel, sa Mungu anawambia wanao mzulia uwongo Gabriel hao ndio madui.


قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّۭا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُۥ نَزَّلَهُۥ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ ٱللَّهِ مُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًۭى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ ٩٧

Say, ˹O Prophet,˺ “Whoever is an enemy of Gabriel should know that he revealed this ˹Quran˺ to your heart by Allah’s Will, confirming what came before it—a guide and good news for the believers.”

Aya iko very clear Mungu anamwambia Mtume Muhammad aseme; Yoyote ambaye ni adui au anachuki na Gabriel lazima afahamu wazi ndiyo aliye kushushia hi Qur'an kwenye Moyo wako kwa Amri ya Mungu, sa nani adui wa Jibril ni nyie mnao pinga Mtume Muhammad hakushushiwa Qur'an na Jibril.
 
Hahaha kwahiyo sisi hatujuibkusoma au hatuelewi kinachomaanishwa adui wa malaika Gabriel ni shetani tu, shetani ni roho hivyo hivyo kwa malaika pia ni roho hao ndiyo huwa na uadui baina yao, uadui kati ya roho ya uasi yaani shetani na roho ya utii ambao ni malaika wa Mungu
Kwahiyo adui wa Gabriel ni shetani ambaye ndiye aliyeishudha kuluwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…