Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Mama Abdul ameamua kuzichezea kodi zetu tu.Tunaambiwa hao waigizaji wameenda kujifunza huko Korea.
Sina hakika wameenda kujifunza nini.
Ni kitu gani ambacho hawakijui na ambacho hao Wakorea wanakijua?
Hao Wakorea wao waliendaga wapi kujifunza hayo wanayoyajua kwenye huo uigizaji?