Na wao hulipwa posho za per diem?

Na wao hulipwa posho za per diem?

Wanalipwa. Na wakishalipwa wanarudi kuwalipa bodaboda wetu, bajaji, mama lishe, na makundi mengine ya watz masikini.
Kwangu mimi ni bora wakilipwa hao watazileta huku chini moja kwa moja kuliko akilipwa Mwigulu atazificha huko huko nje. Waacheni na wao wafaidi keki
Ona huyu nae anaropoka nini.
We una uhakika matumizi yao yataendana na ulichokieleza hapo!?
Hao wasanii watatumbua hela kistarehe kwa manufaa na mnufaiko wa wachache.
Pia usisahau gharama ilotumika kuwasafirisha na kuwapa huduma ya vyakula na malazi huko walipo.
 
View attachment 3008287

Hii picha imenichekesha sana 🤣.

Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?

Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?

Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.

Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Kwahiyo!?

Manafiki wewe mkubwa.
 
Kabla hujakurupuka ulitakiwa uelewe hicho ni kikao cha nini.
 
View attachment 3008287

Hii picha imenichekesha sana 🤣.

Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?

Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?

Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.

Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Wewe unafikiriaje unatuuliza swali au unatujibu☺️
 
View attachment 3008287

Hii picha imenichekesha sana 🤣.

Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?

Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?

Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.

Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Ccm hoyee! Kigumu chama cha mapinduzi! Zidumu fikra pekee za Mwenyekiti.!

Hivi yule Job wa Ndugai yuko wapi!

Kwani mkuu ni nani ana uchungu na kodi za nchi hii?

Zamu ya mama kutumbua ila yy ameenda mbali ametoa mpaka vipabde vya ardhi.
 
View attachment 3008287

Hii picha imenichekesha sana 🤣.

Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?

Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?

Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.

Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Wanatuwakilisha watanzania tuliowatuma wakawafundishe wakorea sanaa ya bongomuvi.
 
Mwisho wavunje shingo kugeuka tu kushangaashangaa nchi inavyouzwa, haya hapo Bongo movie wanaelewa kinachoendelea sasa?
 
Back
Top Bottom