Naacha Pombe kuanzia leo

Naacha Pombe kuanzia leo

Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
Mi nimeskia chanzo Cha wewe kuacha pombe Ni ulivunjiwa yai huko nyuma ile siku ulipofreti

Au wanakusingizia mkuu
 
Kuacha pombe ni jambo linahitaji uvumilivu mkubwa. mwaka 2013 kuna siku niliapa kabisa kuacha bia baada ya kurudi home alfajiri sijui nimerudi vipi ila nachokumbuka last minutes nilitapika sana pale mzalendo kwenye saa 9 hivi baada ya show ya machozi band. Nimetulia home mchana mzima hangover kama zote. Jioni nikasema ngoja nishooshe miguu. Nikajikuta counter nmeagiza ya baridi [emoji23][emoji23]
 
Ni sawa na punyeto ukimaliza kupiga unajisemea hii ndo yamwisho sipigi tena..
Huo ndy mfano gani sasa mkuu??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nashukuru niliacha punyeto mwaka 1992 pindi tu nilipopata my first born
 
Kweli hata me nikiamua zangu nijipumzikie nisinywe nakaa kwa mda sinywi na sitamani ngoja sasa uanze kuwatangazia wananzengo hata mwezi hauishi koo linawasha

Ila beer tamu jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sababu nyingi sana
kurudi home asubuhi
matumizi makubwa ya pesa

Wewe hunywi pombe wewe maana sababu zako ulizozitoa ni za wanywa matupu tapu!
Kubwa zaidi ni kwamba huna hela za kunywa pombe...
 
Wewe hunywi pombe wewe maana sababu zako ulizozitoa ni za wanywa matupu tapu!
Kubwa zaidi ni kwamba huna hela za kunywa pombe...
safari ni matapu tapu kuwa na adabu
 
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
Hata mzee yusuph alisema anaacha taarab na kumrudia Allah ila baaye Sheitwani alimzidi nguvu
 
Back
Top Bottom