Naamini kwa dhati kabisa nguvu ya Makonda haitokani na kuwa kwake katibu mwenezi wa CCM, lazima kuna chanzo kingine kinampa kujiamini kiasi hiki

Naona ha KM wake amepigwa ganzi kali
 
hakuna kitu kiitwacho "nguvu za kilokole". Kuna nguvu za Mungu Aliye hai, Yehova.

KWA BWANA YESU KILA GOTI LITAPIGWA!
Wafilipi 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁹ Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
¹⁰ ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
¹¹ na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
 
Kwa wewe unayetegemea watu ill maisha yako yaende kulamba makalio sawa! Makonda anamtegemea Mungu!
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hata kabla ya kuupata huo ukatibu mwenezi watu walisema mengi sana mabaya kuhusu huyu jamaa !
Lakini wapiii !
Yote yaliyosemwa mabaya yangemtokea hayakutokea, badala yake ameula !
Hii inaonyesha huyu jamaa nyota imewaka haizuiliki tena 😅
Ngoja tuone !
 
Ngoja tusubiri tuone !
Lakini jamaa amewashika pabaya. !
Na hawana namna ya kufanya !
Mwenyekiti ni Alfa na Omega kwenye Chama nani ana ubavu wa kumtingisha Mwenyekiti ambaye pia ndiye Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu ??!
Na ndiye amempa kazi Makonda !!
Hii ni ngoma nzito kuliko inavyodhaniwa !!
Ngoja tuone 🙏🙏🙏😅
 
Hiyo ni tabia ya wasukuma,anaweza kujipa mamlaka zaidi hata ya bosi wake
 
Pengine tu hujui details. Mara baada ya kufariki kwa Magufuli na Samia kuapishwa, watu tunaojua habari za upande wa pili tulikuwa tunajua kuwa bado 40 yake haijafika. Waliokuwa wanasema siku zake zimefika ni watu wa mtaani wasiojua mambo mengi. Kwa taarifa yako ni kuwa hata baada ya kifo cha Magufuli, Makonda alikuwa analindwa na hii ni kwa maagizo ya Samia. Tulijua kabisa ni jambo la muda tu, atateuliwa tena. Ila Samia kama hayupo basi itakula kwake.
 
Mkuu
Usiwe Msahaurifu Haraka Hivyo Umesahau Wakati Wa JK Chama Kilipasuka Na Kikawa Kinamfia Hadharani Mpaka Fitna, Zilipotumika Ndiyo Nafuu Ikapatikana
Tena Mwenyewe Alikiri Wazi Wazi
 
As long as Samia is there, Makonda is safe. Lakini..... ina maana hujajifunza tu kuwa siasa, siku moja inaweza kuleta mabadiliko makubwa? Yuko wapi yule mpwa wa Magufuli aliyekuwa anajitapa utadhani yeye ndiye mwenye faili la maisha ya watanzania?
 
Hayo Mambo mengine ni Ujinga wa Watanzania wenyewe....!

Lakini haiondoi ukweli kuwa Mikutano ya Makonda kuna watu inawasaidia, na hiyo ndo Muhimu......!

Mkuu mimi sio Mpiga Debe wa CCM kama wengi wao hapa, Binafsi siwapendi CCM mpaka naingia Kaburini, ila kama CCM ikiendelea kuongoza, hakuna siku hata moja, System ya Uongozi chni ya CCM itakuja kutatua matatizo ya Watu wa hari ya chini kwa kusubiri Viongozi wa Umma, kila siku zinavyokwenda ndo matatizo yanazidi....!

Ni bora akitokea Mtu kama Makonda akafanya anachokifanya angalau kuna watu wanasaidika, japo anapigwa Vita mpaka na Viongozi wa CCM...!
 
Mm nadhani CCM Kama wanajiamini au wana viongozi wanaojua taratibu na kanuni au katiba ya CCM waje hapa watuambie kama Paulo Makonda anakiuka katiba ya CCM au yuko sahihi,na ikiwezekana watoe tamko hadharani kukemea ukiukwaji mkubwa na utovu wa nidhamu dhidi ya katiba ya CCM ,Na kama hawatafanya hivyo basi tunaolalamika tujue kwamba CCM ilisha badilisha katiba yake zamani na tunaolalamika tumeachwa na wakati na tuko nyuma sana hivyo tubadilike na kutambua kwamba kinacho endelea kufanywa na MWENEZI Paulo Makonda ni sahihi na hakina makosa yoyote.
 
Mkuu
Usiwe Msahaurifu Haraka Hivyo Umesahau Wakati Wa JK Chama Kilipasuka Na Kikawa Kinamfia Hadharani Mpaka Fitna, Zilipotumika Ndiyo Nafuu Ikapatikana
Tena Mwenyewe Alikiri Wazi Wazi
Alipokuwepo Mwalimu kama Mstaafu na alipokuwepo Mkapa baadaye kama mstaafu pia kulikuwepo na huo uzito kwamba wanaweza wakaingilia mchakato wowote ndani ya Chama na watu wakawasikiliza !
Lakini kwa sasa Naona kama mambo yamebadilika sana !!
Lakini huenda mimi sina ufahamu mzuri wa kinachoendelea huko Chamani !
Ngoja Tusubiri tuone. 🙏🙏🙏
 
Hii ni point kubwa sana !!
 
Wachache tutakuelewa
 
Unateseka ukiwa wapi mamaeee
 
Inawezekana. Mara nyingine naamini walokole wanatumia nguvu fulani zilizojificha kufanya mambo yao! Lakini chama chenye mchanganyiko wa dini mbalimbali, haikiwezi kudumu kwa kuendeshwa na nguvu za kilokole!
Sikweli ,dogo mama akiwa makamo alijichanga vizuri


Leo waziri mkuu wa ufaransa sibwege kumweka mume wake wazamani kwenye nafasi ya minister of foreigner

Dogo enzi za makamo mama ,inawezekana alikuwa mkarimu Kwa mama sana ukizingatia mkuu wa mkoa
 
Tunaelekea huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…