Huyo yeye ana chuki na Wasukuma Makonda ni sababu tu! Hao wenye miguu kama supoku wanamatatozo sana! They are very stupid!Mtu ajikweze halafu ajiite muuaji akili huna wasukuma ndo hawataki hiyo comment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo yeye ana chuki na Wasukuma Makonda ni sababu tu! Hao wenye miguu kama supoku wanamatatozo sana! They are very stupid!Mtu ajikweze halafu ajiite muuaji akili huna wasukuma ndo hawataki hiyo comment
Naona ha KM wake amepigwa ganzi kaliLeo hii katibu mwenyezi apewe bajeti, misafara ya magari, kuliko inavyokuwa kwa makamu mwenyekiti wa CCM au katibu mkuu wa CCM, kwa sababu gani? Kwamba katiba ya CCM imebadilishwa kisiri na hawa wote wameambiwa kuanzia sasa bosi wenu ni katibu mwenezi wa CCM? Pamoja na mawaziri? Wakuu wa mikoa? Mwanasheria Mkuu? Wenyeviti wa CCM wa mikoa?
Wafilipi 2 (Biblia Takatifu)hakuna kitu kiitwacho "nguvu za kilokole". Kuna nguvu za Mungu Aliye hai, Yehova.
KWA BWANA YESU KILA GOTI LITAPIGWA!
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kwa wewe unayetegemea watu ill maisha yako yaende kulamba makalio sawa! Makonda anamtegemea Mungu!
Hata kabla ya kuupata huo ukatibu mwenezi watu walisema mengi sana mabaya kuhusu huyu jamaa !Makonda katumwa na Samia ili kulaghai watu waone kuwa kumbe raia ni kiongozi mzuri sana ila tu watu aliowachagua ndiyo wabaya. Kwa kifupi anajaribu kutenganisha failures za serikali na rais ili ionekane kwamba tuna rais mzuri sana ila wateule wake siyo wazuri. Anatumia zile technique za Magufuli baada ya kuona kuwa watu walizipenda sana. Tatizo lililojitokeza ni kwamba Samia kama rais, hana uwezo na stamina ya kuzunguka huko na huko huku akifanya ghilba za aina hiyo. Akaona njia rahisi ni kumchukuwa mjinga mjinga fulani ili amtumie kama ''mbwa''. Nakuhakikishia hiyo kazi angepewa mtu mwenye akili na busara zake, asingekubali kufanya maigizo ya kijinga namna hii. Kwanza anatengeza uadui na watu wengi sana ambao hajui kesho wanaweza kuja kuwa na vyeo na uwezo wa kumshughulikia. Samia ni binadamu, wiki ijayo anaweza asiwepo, Makonda ataweka wapi uso wake? Si watagawana nyama wamle?
Ngoja tusubiri tuone !Hiyo Nguvu Imeonekana Wazi Wazi Ila Ndiyo Itakayokipasua Chama Vipande Viwili
Kwasasa Wote Wapo Kimya Ila Wanangoja 2025 Ndiyo Watatoa Kucha Zot
Kugombea Fito Za Nafasi Ya Rais Wa JMT, Subirini Muda Utaongea Yote
Mnayoyajua /Msiyoyajua Yatawekwa Hadharani Na Mtashangaa Sana
Hiyo ni tabia ya wasukuma,anaweza kujipa mamlaka zaidi hata ya bosi wakeNiite jina lolote, lakini mimi ni mojawapo ya watu ambao huwezi hata kabisa kunishawishi kwamba hii nguvu na mbwembwe ambazo Makonda amekuwa akizionyesha zinatokana na kuwa kwake na cheo cha katibu mwenezi wa CCM. Tusidanganyane hapa.
Makonda sio katibu mwenezi wa kwanza CCM, na wamekuwapo wengine huko nyuma, lakini ni mara ya kwanza tunapata katibu mwenezi wa CCM ambae anaonyesha kujiamini kupita mamlaka yanayostahili ya katibu mwenezi wa CCM.
Leo hii katibu mwenezi awapigie simu mawaziri, amkebehi mwanasheria mkuu wa serikali, awaamrishe wakuu wa mikoa, ma-RPC, eti kwa sababu yeye ndie msemaji mkuu wa chama, hilo tu? Haiwezekani.
Leo hii katibu mwenyezi apewe bajeti, misafara ya magari, kuliko inavyokuwa kwa makamu mwenyekiti wa CCM au katibu mkuu wa CCM, kwa sababu gani? Kwamba katiba ya CCM imebadilishwa kisiri na hawa wote wameambiwa kuanzia sasa bosi wenu ni katibu mwenezi wa CCM? Pamoja na mawaziri? Wakuu wa mikoa? Mwanasheria Mkuu? Wenyeviti wa CCM wa mikoa?
Sote tunajua msemaji mkuu wa chama chochote anasema yale chama kilichoamua katika vikao vyake rasmi. Kuwa msemaji wa chama haina maana wewe ndio unakuwa unakisemea chama, hata siku moja. Kuwa katibu mwenyezi sio katika mpangilio wa vyeo vya chama, ni nafasi tu. Huwezi hata kusema katibu mwenezi wa CCM ni mkubwa kuliko mwenyekiti wa CCM wa mkoa. Lakini sio hivyo kwa Makonda. Yeye amejipa madaraka ambayo nadhani yanazidi hata ya kuwa makamu mwenyekiti wa CCM, au katibu mkuu wa CCM. Kujiamini huko kunatoka wapi? Mamlaka haya yanatoka wapi? Kwamba siku zote hatukujua kuwa katibu mwenezi wa chama ni mtu mkubwa namna hii? Ni kweli?
Nyie watu wa CCM, nyie mawaziri, nyie wakuu wa mikoa, tuambieni ukweli. Kinachowafanya muufyate Makonda akiunguruma ni nini hasa, Ukatibu mwenezi wa CCM? Na kwa nini sasa wenye akili tukiwauliza mbona mambo yako hivi, mnaishia kutabasamu tu bila kusema lolote? Kuna kitu gani msichotuambia?
Na niwaambie wazi nyie watu wa CCM. Kama nguvu ya Makonda sio ya kikatiba ndani ya CCM, kama kuna chanzo kingine kisicho rasmi kinampa nguvu na kujiamini kiasi hiki, basi anguko la CCM liko karibu sana!
Pengine tu hujui details. Mara baada ya kufariki kwa Magufuli na Samia kuapishwa, watu tunaojua habari za upande wa pili tulikuwa tunajua kuwa bado 40 yake haijafika. Waliokuwa wanasema siku zake zimefika ni watu wa mtaani wasiojua mambo mengi. Kwa taarifa yako ni kuwa hata baada ya kifo cha Magufuli, Makonda alikuwa analindwa na hii ni kwa maagizo ya Samia. Tulijua kabisa ni jambo la muda tu, atateuliwa tena. Ila Samia kama hayupo basi itakula kwake.Hata kabla ya kuupata huo ukatibu mwenezi watu walisema mengi sana mabaya kuhusu huyu jamaa !
Lakini wapiii !
Yote yaliyosemwa mabaya yangemtokea hayakutokea, badala yake ameula !
Hii inaonyesha huyu jamaa nyota imewaka haizuiliki tena 😅
Ngoja tuone !
MkuuNgoja tusubiri tuone !
Lakini jamaa amewashika pabaya. !
Na hawana namna ya kufanya !
Mwenyekiti ni Alfa na Omega kwenye Chama nani ana ubavu wa kumtingisha Mwenyekiti ambaye pia ndiye Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu ??!
Na ndiye amempa kazi Makonda !!
Hii ni ngoma nzito kuliko inavyodhaniwa !!
Ngoja tuone 🙏🙏🙏😅
As long as Samia is there, Makonda is safe. Lakini..... ina maana hujajifunza tu kuwa siasa, siku moja inaweza kuleta mabadiliko makubwa? Yuko wapi yule mpwa wa Magufuli aliyekuwa anajitapa utadhani yeye ndiye mwenye faili la maisha ya watanzania?Ngoja tusubiri tuone !
Lakini jamaa amewashika pabaya. !
Na hawana namna ya kufanya !
Mwenyekiti ni Alfa na Omega kwenye Chama nani ana ubavu wa kumtingisha Mwenyekiti ambaye pia ndiye Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu ??!
Na ndiye amempa kazi Makonda !!
Hii ni ngoma nzito kuliko inavyodhaniwa !!
Ngoja tuone 🙏🙏🙏😅
Hayo Mambo mengine ni Ujinga wa Watanzania wenyewe....!Ataweza kuwafikia na kutatua matatizo ya masikini wangapi? Nchi ina watu >60 million. Halafu, atatatua matatizo kwa kutumia watendaji hao hao “walioshindwa kazi” kwenye mfumo rasmi chini ya uongozi wa CCM? Halafu pia kwa gharama gani? Misafara yote hiyo?
Au ni kuwapa faraja ya kisaikolojia tu kama ile wanayotoa waganga wa kienyeji, mitume na manabii baada ya mifumo rasmi kushindwa kuwaponya/kuwafanikisha kama ilivyotarajiwa?
Kwa kweli huwa nastaajabu sana kuona kumbe kweli kuna watu wengi nchini wanaoamini kuwa kiongozi bora ni yule ambaye muda mwingi anazunguka kusikiliza matatizo ya mtu mmoja mmoja kwenye mikutano ya hadhara kisha kuagiza kupitia media watendaji husika wayatatue! Ukiondoa shere iliyomo katika hilo tukio-kituko, sijui Watanzania wangapi wanajiuliza gharama za hiyo misafara, tija yake, na hasara inayopatikana kwenye uchumi hasa ukifikiria suala la opportunity cost. Yaani yote hiyo ni ili kuwazuga na kuwapa faraja “wajinga”! Very sad!
Yaani kama vile hatukwenda shule wala kuelimika? Hatujui kabisa serikali ni kitu gani na inatakiwa kufanya kazi vipi? Kweli tunahitaji hizi exorbitant charades za kina Makonda?
How credible is this conspiracy theory?Deep state wamemweka hapo kuvunja nguvu ya Msoga at al.
Mm nadhani CCM Kama wanajiamini au wana viongozi wanaojua taratibu na kanuni au katiba ya CCM waje hapa watuambie kama Paulo Makonda anakiuka katiba ya CCM au yuko sahihi,na ikiwezekana watoe tamko hadharani kukemea ukiukwaji mkubwa na utovu wa nidhamu dhidi ya katiba ya CCM ,Na kama hawatafanya hivyo basi tunaolalamika tujue kwamba CCM ilisha badilisha katiba yake zamani na tunaolalamika tumeachwa na wakati na tuko nyuma sana hivyo tubadilike na kutambua kwamba kinacho endelea kufanywa na MWENEZI Paulo Makonda ni sahihi na hakina makosa yoyote.Niite jina lolote, lakini mimi ni mojawapo ya watu ambao huwezi hata kabisa kunishawishi kwamba hii nguvu na mbwembwe ambazo Makonda amekuwa akizionyesha zinatokana na kuwa kwake na cheo cha katibu mwenezi wa CCM. Tusidanganyane hapa.
Makonda sio katibu mwenezi wa kwanza CCM, na wamekuwapo wengine huko nyuma, lakini ni mara ya kwanza tunapata katibu mwenezi wa CCM ambae anaonyesha kujiamini kupita mamlaka yanayostahili ya katibu mwenezi wa CCM.
Leo hii katibu mwenezi awapigie simu mawaziri, amkebehi mwanasheria mkuu wa serikali, awaamrishe wakuu wa mikoa, ma-RPC, eti kwa sababu yeye ndie msemaji mkuu wa chama, hilo tu? Haiwezekani.
Leo hii katibu mwenyezi apewe bajeti, misafara ya magari, kuliko inavyokuwa kwa makamu mwenyekiti wa CCM au katibu mkuu wa CCM, kwa sababu gani? Kwamba katiba ya CCM imebadilishwa kisiri na hawa wote wameambiwa kuanzia sasa bosi wenu ni katibu mwenezi wa CCM? Pamoja na mawaziri? Wakuu wa mikoa? Mwanasheria Mkuu? Wenyeviti wa CCM wa mikoa?
Sote tunajua msemaji mkuu wa chama chochote anasema yale chama kilichoamua katika vikao vyake rasmi. Kuwa msemaji wa chama haina maana wewe ndio unakuwa unakisemea chama, hata siku moja. Kuwa katibu mwenyezi sio katika mpangilio wa vyeo vya chama, ni nafasi tu. Huwezi hata kusema katibu mwenezi wa CCM ni mkubwa kuliko mwenyekiti wa CCM wa mkoa. Lakini sio hivyo kwa Makonda. Yeye amejipa madaraka ambayo nadhani yanazidi hata ya kuwa makamu mwenyekiti wa CCM, au katibu mkuu wa CCM. Kujiamini huko kunatoka wapi? Mamlaka haya yanatoka wapi? Kwamba siku zote hatukujua kuwa katibu mwenezi wa chama ni mtu mkubwa namna hii? Ni kweli?
Nyie watu wa CCM, nyie mawaziri, nyie wakuu wa mikoa, tuambieni ukweli. Kinachowafanya muufyate Makonda akiunguruma ni nini hasa, Ukatibu mwenezi wa CCM? Na kwa nini sasa wenye akili tukiwauliza mbona mambo yako hivi, mnaishia kutabasamu tu bila kusema lolote? Kuna kitu gani msichotuambia?
Na niwaambie wazi nyie watu wa CCM. Kama nguvu ya Makonda sio ya kikatiba ndani ya CCM, kama kuna chanzo kingine kisicho rasmi kinampa nguvu na kujiamini kiasi hiki, basi anguko la CCM liko karibu sana!
Alipokuwepo Mwalimu kama Mstaafu na alipokuwepo Mkapa baadaye kama mstaafu pia kulikuwepo na huo uzito kwamba wanaweza wakaingilia mchakato wowote ndani ya Chama na watu wakawasikiliza !Mkuu
Usiwe Msahaurifu Haraka Hivyo Umesahau Wakati Wa JK Chama Kilipasuka Na Kikawa Kinamfia Hadharani Mpaka Fitna, Zilipotumika Ndiyo Nafuu Ikapatikana
Tena Mwenyewe Alikiri Wazi Wazi
Hii ni point kubwa sana !!Mm nadhani CCM Kama wanajiamini au wana viongozi wanaojua taratibu na kanuni au katiba ya CCM waje hapa watuambie kama Paulo Makonda anakiuka katiba ya CCM au yuko sahihi,na ikiwezekana watoe tamko hadharani kukemea ukiukwaji mkubwa na utovu wa nidhamu dhidi ya katiba ya CCM ,Na kama hawatafanya hivyo basi tunaolalamika tujue kwamba CCM ilisha badilisha katiba yake zamani na tunaolalamika tumeachwa na wakati na tuko nyuma sana hivyo tubadilike na kutambua kwamba kinacho endelea kufanywa na MWENEZI Paulo Makonda ni sahihi na hakina makosa yoyote.
Wachache tutakuelewaAtaweza kuwafikia na kutatua matatizo ya masikini wangapi? Nchi ina watu >60 million. Halafu, atatatua matatizo kwa kutumia watendaji hao hao “walioshindwa kazi” kwenye mfumo rasmi chini ya uongozi wa CCM? Halafu pia kwa gharama gani? Misafara yote hiyo?
Au ni kuwapa faraja ya kisaikolojia tu kama ile wanayotoa waganga wa kienyeji, mitume na manabii baada ya mifumo rasmi kushindwa kuwaponya/kuwafanikisha kama ilivyotarajiwa?
Kwa kweli huwa nastaajabu sana kuona kumbe kweli kuna watu wengi nchini wanaoamini kuwa kiongozi bora ni yule ambaye muda mwingi anazunguka kusikiliza matatizo ya mtu mmoja mmoja kwenye mikutano ya hadhara kisha kuagiza kupitia media watendaji husika wayatatue! Ukiondoa shere iliyomo katika hilo tukio-kituko, sijui Watanzania wangapi wanajiuliza gharama za hiyo misafara, tija yake, na hasara inayopatikana kwenye uchumi hasa ukifikiria suala la opportunity cost. Yaani yote hiyo ni ili kuwazuga na kuwapa faraja “wajinga”! Very sad!
Yaani kama vile hatukwenda shule wala kuelimika? Hatujui kabisa serikali ni kitu gani na inatakiwa kufanya kazi vipi? Kweli tunahitaji hizi exorbitant charades za kina Makonda?
Unateseka ukiwa wapi mamaeeeNiite jina lolote, lakini mimi ni mojawapo ya watu ambao huwezi hata kabisa kunishawishi kwamba hii nguvu na mbwembwe ambazo Makonda amekuwa akizionyesha zinatokana na kuwa kwake na cheo cha katibu mwenezi wa CCM. Tusidanganyane hapa.
Makonda sio katibu mwenezi wa kwanza CCM, na wamekuwapo wengine huko nyuma, lakini ni mara ya kwanza tunapata katibu mwenezi wa CCM ambae anaonyesha kujiamini kupita mamlaka yanayostahili ya katibu mwenezi wa CCM.
Leo hii katibu mwenezi awapigie simu mawaziri, amkebehi mwanasheria mkuu wa serikali, awaamrishe wakuu wa mikoa, ma-RPC, eti kwa sababu yeye ndie msemaji mkuu wa chama, hilo tu? Haiwezekani.
Leo hii katibu mwenyezi apewe bajeti, misafara ya magari, kuliko inavyokuwa kwa makamu mwenyekiti wa CCM au katibu mkuu wa CCM, kwa sababu gani? Kwamba katiba ya CCM imebadilishwa kisiri na hawa wote wameambiwa kuanzia sasa bosi wenu ni katibu mwenezi wa CCM? Pamoja na mawaziri? Wakuu wa mikoa? Mwanasheria Mkuu? Wenyeviti wa CCM wa mikoa?
Sote tunajua msemaji mkuu wa chama chochote anasema yale chama kilichoamua katika vikao vyake rasmi. Kuwa msemaji wa chama haina maana wewe ndio unakuwa unakisemea chama, hata siku moja. Kuwa katibu mwenyezi sio katika mpangilio wa vyeo vya chama, ni nafasi tu. Huwezi hata kusema katibu mwenezi wa CCM ni mkubwa kuliko mwenyekiti wa CCM wa mkoa. Lakini sio hivyo kwa Makonda. Yeye amejipa madaraka ambayo nadhani yanazidi hata ya kuwa makamu mwenyekiti wa CCM, au katibu mkuu wa CCM. Kujiamini huko kunatoka wapi? Mamlaka haya yanatoka wapi? Kwamba siku zote hatukujua kuwa katibu mwenezi wa chama ni mtu mkubwa namna hii? Ni kweli?
Nyie watu wa CCM, nyie mawaziri, nyie wakuu wa mikoa, tuambieni ukweli. Kinachowafanya muufyate Makonda akiunguruma ni nini hasa, Ukatibu mwenezi wa CCM? Na kwa nini sasa wenye akili tukiwauliza mbona mambo yako hivi, mnaishia kutabasamu tu bila kusema lolote? Kuna kitu gani msichotuambia?
Na niwaambie wazi nyie watu wa CCM. Kama nguvu ya Makonda sio ya kikatiba ndani ya CCM, kama kuna chanzo kingine kisicho rasmi kinampa nguvu na kujiamini kiasi hiki, basi anguko la CCM liko karibu sana!
Sikweli ,dogo mama akiwa makamo alijichanga vizuriInawezekana. Mara nyingine naamini walokole wanatumia nguvu fulani zilizojificha kufanya mambo yao! Lakini chama chenye mchanganyiko wa dini mbalimbali, haikiwezi kudumu kwa kuendeshwa na nguvu za kilokole!
Tunaelekea hukoKama Samia alitaka mtu wa kusukuma utendaji wa kiserikali, angemteua katika cheo cha kiserikali kinachosimamia mawaziri, wakuu wa mikoa nk, kama Biteko. Hili la Makonda kujipa nguvu na kujiamini nakuhakikishia halikupangwa, huenda hata Samia anashangaa lakini hana la kusema