Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Jamaa hawataki Kwenda Mahakama wanataka bargain ya vichochoroni Kama ile alomfanyia Yule Tajiri anayetweet sana
Bila shaka mratibu ni prince mwenyewe, huu upuuzi sasa naona unaendekezwa sana hapa nchini kisa ana backup.

Kama ana makosa na mna ushahidi kwanini mnaogopa kumpeleka mahakani?
 
Uzi wa yoga umekuumiza Sana my!!!?haupo peke yako njoo tujipoze kama vipi!!!
 
Tunaomba amani itawale! Inawezekana kumsamehe mtu hata Kama hajaomba msamaha Ili kuandaa mazingira ya amani. Naomba Makonda asamehewe hata Kama hajaomba msamaha na Mungu atawabariki!
 
Ni watu wa kanda gani waliumizwa na Magufuli? Na waliumizwaje? Naomba kufahamu kidogo
Siamini kwamba haufahamu kanda iliyowekewa kinyonga na Jpm, ila tu unalo jambo lingine, hata hivyo nikukumbushe,

1. Linganisha Kisa cha watu wa morogoro road kuvunjiwa nyumba zao huku watu wa mwanza wakiambiwa wasivunjiwe kwamba wao Ndiyo waliompigia kura. %kubwa ya waliokuwa wanaishi morogoro road ni wa ukanda wa kaskazini.

2. Haukuwa unasikia kauli zake akisema watu wa kaskazini wengi ni wezi na wabadhilifu na hakuishia hapo zaidi aliwatumbua hovyo.

3. Hata haujamsikia Sabaya akijinadi kizimbani kwamba yeye alitumwa na boss wake kuwashughulikia watu wa kanda ya kaskazini bila kujali mipaka ya utawala wake akiongoza kikosi maalum.

Kwa hayo machache sasa ongea ulilokuwa nalo ili nafsi yako itulie.
 
Huyo hata akihama... atarudi kulilia mali zisizo zake. Make alishazoea kudhulumu watu kibabe!
Bahati mbaya akili za kusoma hata picha hana...

NB: Jumuiya ya kimataifa inafuatilia nyendo zake. Pona yake ajisalimishe kituo chochote kilichopo karibu yake
 
Kwa
Ww ni muhanga wa akili yako fupi usisingizie bana
Kwani hapo kasingizia wapi, wasanii na waandishi wengi waligeuzwa vituko kwa kumsifia jiwe na kunanga upinzani, je leo unawasikia? Hata Kitenge aliyekuwa anaimba mapambio ya Jiwe na wateule wake leo anamnanga Makonda. Jiulize.
 
Huyu Msukuma mshamba sana halafu anajifanya bonge la much know wakati hata kuandika vizuri hajui, sijui kama atausikiliza ushauri wako na kuufanyia kazi.
Paulo Albert Bashite... aka Paulo Makonda... ni kielelezo kizuri cha mada ya vijana na nguvu ya vyeo na madaraka.
Naendelea kujifunza kuwa mtu, jina na cheo/madaraka ni vitu tofauti. Haviingiliani. Na havina urafiki wa kudumu.
 
Kama unajua haya yote sasa si wewe ndo unae muwinda sasa!!
 
Huyo jamaa anakopi na kupaste Sana..Hana lolote huyo buyobe
 
Huyu Msukuma mshamba sana halafu anajifanya bonge la much know wakati hata kuandika vizuri hajui, sijui kama atausikiliza ushauri wako na kuufanyia kazi.
Acheni ukanda na ukabila,si shaka utakua mkaskazini maana hao ndo mabingwa wa ukabila,ukanda u Lutheran na ujuaji wa ajabu ajabu
 
Acheni ukanda na ukabila,si shaka utakua mkaskazini maana hao ndo mabingwa wa ukabila,ukanda u Lutheran na ujuaji wa ajabu ajabu
Mimi mwenyewe Msukuma wa kuzaliwa kabisa, na nina washing mkubwa yu kwenye jamii yangu. Bila mimi hamna tambiko linafanyika
 
Ww ni mjinga, umejaza sumu ambazo hata huelewi umelishwaje. nakupa tu pole
Ila kuna watu mna ujasiri wa kujifunika shuka na nyoka. Hivi utaanzaje kumtukana mtu ambaye humjui…?

mzee hii ni mitandao tuu..ukija kwenye uhalisia unaweza kuta Mimi ni boss wa tajiri yako!

kuwa makini sana. Usipende kuiamini sana hii mitandao na kutukana usiowajua.

Makonda anahukumiwa na record yake na wala si vinginevyo.
 
Bila shaka mratibu ni prince mwenyewe, huu upuuzi sasa naona unaendekezwa sana hapa nchini kisa ana backup.

Kama ana makosa na mna ushahidi kwanini mnaogopa kumpeleka mahakani?
Mwambie hivyo Makonda kama anataka kuuliwa yeye ndiye aende Polisi kutoa ripoti.

Huyu ndezi lazima tumwage mavi tu siku moja kwa ufedhuli aliofanya akiwa RC Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…