Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Alimuua nani?

Alimdhurumu nani?

Alimtesa nani?

Na kama alifanya hayo kweli, je yuko juu ya Sheria?

Ana kinga ya kushitakiwa?

Kwa mujibu wa katiba, Makonda hana kinga ya kushitakiwa...

Nini kinazuia asishitakiwe?
Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
 

Ulipeleka mahakamani hizi tuhuma?

Au ndiyo kawaida ya nyumbu kuimba kila aina ya wimbo anaoimba Dj
 
Na ushahidi upo?

Nini kinawazuia kupeleka ushahidi ili apelekwe mahakamani?

Ukimtoa Ben, Akwilina na Manji

Wengine bado wapo hai, unataka kunambia wanamuogopa Makonda?

Tuseme hao wengine hawana uelewa wa kisheria, vipi kuhusu Tundu Lissu?

Unataka kunambia Lissu anamuogopa Makonda?
 
Unajitoa akili sasa hivi lakini kuna siku hutajitoa tena. Ni suala la muda tu.
 
Unajitoa akili sasa hivi lakini kuna siku hutajitoa tena. Ni suala la muda tu.
Nielimishe zaidi mkuu...

Unaposema najitoa akili unamaanisha najua Makonda hagusiki halafu najifanya kuuliza kinafiki?

Kwa tuhuma zinazoongelewa humu kuhusu Makonda na hajawahi kufungwa...

Wewe unaona nani anazuia hilo kufanyika?

Tumeona Sabaya akienda jela, nini kinashindikana kwa Makonda?
 
Sabaya hakwenda jela. Lile lilikuwa ni igizo tu. Kesi yake bado iko pale pale. Hata Makonda siku yake inakuja.
 
Sabaya hakwenda jela. Lile lilikuwa ni igizo tu. Kesi yake bado iko pale pale. Hata Makonda siku yake inakuja.
Weka ushahidi kwamba Sabaya hakwenda jela...

Thibitisha kwamba lilikuwa ni igizo...

Kesi ipi ya Sabaya iko palepale, itaje...

Siku ya Makonda kwanini ichelewe na ushahidi upo?

Kama Makonda alihusika na kuwadhulumu GSM na inasadikika hawa jamaa wana urafiki na ikulu, nini kinashindikana kumsagia kunguni achukuliwe hatua sasa hivi?
 
Absolutely.
 
Kama alifanya kwa niaba ya muhimili uliojichimbia kuliko mihimili yote unadhani PGO itafuatwa?, haitakuwa kama ya Mbowe rais aingilie?

Na kwasababu za kisiasa ni shida maana yuko kwenye ile kambi ya mwendazake inayojulikana kama “sukuma gang”

Tofauti na Sabaya.

Keshataja kusaidiwa hadi na mkuu wa majeshi yule Mabeyo.

Keshasema JWTZ wamemsaidia sana na hata alipotumiwa “drones” na maadui zake sijui Arusha huko walimsaidia.

Siyo mtu mdogo huyo kusema utamfungulia kesi hovyo hovyo tu.
 
Ulipeleka mahakamani hizi tuhuma?

Au ndiyo kawaida ya nyumbu kuimba kila aina ya wimbo anaoimba Dj
Ndugu Etwege unayo elimu kidogo kuhusu sheria au umeandika kwa kuwa ulihitimu la Saba B? Kwenye jinai parties ni Republic ndiyo plaintiff na individual ndiyo defendant. Hakuna yeyote kati ya hao mwenye capacity ya kufungua shtaka la jinai dhidi ya Makonda mpaka kwa ruksa ya DPP
 
Ndugu nyakubonga unayo elimu kidogo kuhusu sheria au umeandika kwa kuwa ulihitimu la Saba B? Kwenye jinai parties ni Republic ndiyo plaintiff na individual ndiyo defendant. Hakuna yeyote kati ya hao mwenye capacity ya kufungua shtaka la jinai dhidi ya Makonda mpaka kw ruksa ya DPP
 
Nyie wauza danga msituletee uhuni wenu. Makonda atapatikana tu salama. Msifikiri mtaweza kuteka dola milele. Makonda hana cha kuomba radhi kwa yeyote. Mkitoa damu yake ystawakuta yaleyale. Nguvu ya umma haishindwi kitu.
 
From the horse mouth...
 

Ulitupiga fiksi kubabeki.
 
Jwtz wanasaidiaje mhalifu?

Walio kwenye kambi ya mwendazake (Magufuli) una maanisha hawagusiki?

Sabaya hakua kwenye kambi hii?
 
Hapa unataka kusema Dpp hajawahi kuzisikia hizi tuhuma kwa Makonda?

Mbona Sabaya iliwezekana, Makonda ana kinga yeyote dhidi ya jinai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…