Subiri Rais Samia atoke madarakani. Ni kifo tu ndiyo kitamuokoa Makonda kuingia jelaHapa unataka kusema Dpp hajawahi kuzisikia hizi tuhuma kwa Makonda?
Mbona Sabaya iliwezekana, Makonda ana kinga yeyote dhidi ya jinai?
Kabla ya kauli hizi mlisema kinga ya Makonda alikua Magufuli...Subiri Rais Samia atoke madarakani. Ni kifo tu ndiyo kitamuokoa Makonda kuingia jela
Ilikua Magufuli sahv Samia,,,,huyo mtaendelea kuumia tu hakuna wakumpeleka jelaSubiri Rais Samia atoke madarakani. Ni kifo tu ndiyo kitamuokoa Makonda kuingia jela
Kwani amepotea?Nyie wauza danga msituletee uhuni wenu. Makonda atapatikana tu salama. Msifikiri mtaweza kuteka dola milele. Makonda hana cha kuomba radhi kwa yeyote. Mkitoa damu yake ystawakuta yaleyale. Nguvu ya umma haishindwi kitu.
Sabaya alikuwa kidampa tu. Hakuwa na ulinzi wa wanajeshi wa Ikulu. Sabaya angeweza kuvamia clouds ya kina Ruge?Jwtz wanasaidiaje mhalifu?
Walio kwenye kambi ya mwendazake (Magufuli) una maanisha hawagusiki?
Sabaya hakua kwenye kambi hii?
Dogo acha hasira Kuna kitu kinaitwa karma kinafanya kazi kama watu walililalamika kutotendewa haki na makonda akalindwa na mfumoNielimishe zaidi mkuu...
Unaposema najitoa akili unamaanisha najua Makonda hagusiki halafu najifanya kuuliza kinafiki?
Kwa tuhuma zinazoongelewa humu kuhusu Makonda na hajawahi kufungwa...
Wewe unaona nani anazuia hilo kufanyika?
Tumeona Sabaya akienda jela, nini kinashindikana kwa Makonda?
Maelezo kuhusu shutuma za Makonda hua zinanifanya nijiulize huenda Makonda ni allien... au shutuma ni za uongo...Sabaya alikuwa kidampa tu. Hakuwa na ulinzi wa wanajeshi wa Ikulu. Sabaya angeweza kuvamia clouds ya kina Ruge?
Hilo swali la kwanza kuwa jwtz wanasaidiaje wananchi unaniuliza mimi kwa kutumia vigezo na akili gani? Muulize aliyesema.
Kuhusu hiyo kambi siyo wote. Wenye influence.
Unajua makondo akiwa mwenezi hapa juzi kati alimtishia kumuua GSm na RB ipo. lakini baada siku 2 akateuliwa Rc wa ArushaNa ushahidi upo?
Nini kinawazuia kupeleka ushahidi ili apelekwe mahakamani?
Ukimtoa Ben, Akwilina na Manji
Wengine bado wapo hai, unataka kunambia wanamuogopa Makonda?
Tuseme hao wengine hawana uelewa wa kisheria, vipi kuhusu Tundu Lissu?
Unataka kunambia Lissu anamuogopa Makonda?
Ni mfumo upi unamlinda Makonda?Dogo acha hasira Kuna kitu kinaitwa karma kinafanya kazi kama watu walililalamika kutotendewa haki na makonda akalindwa na mfumo
Karma itatenda kazi umlilie usimlilie
ushahidi unaweza kuoatikana ikiwa mamlaka zitaamua
Dogo usukuma usikupofushe machoMaelezo kuhusu shutuma za Makonda hua zinanifanya nijiulize huenda Makonda ni allien... au shutuma ni za uongo...
Haiwezekani binadamu wa kawaida ukawa na shutuma lukuki kama hizo then ulindwe...
Nimesema ana RB ya kutishia kuua GSM mbona aliteuliwa RC jiulize we kichwa majiNi mfumo upi unamlinda Makonda?
Kipindi Magufuli yupo mlisema yeye ndio anamlinda, sasa hivi nani anamlinda?
Kwamba mamlaka hazijaamua kukusanya ushahidi na kwanini?
Halafu una umri gani wa kuniita dogo?
Kama unajijua huna akili timamu usiquote hoja zangu.Nimesema ana RB ya kutishia kuua GSM mbona aliteuliwa RC jiulize we kichwa maji
Mwalimu wako alipata shida sana.Hapa unataka kusema Dpp hajawahi kuzisikia hizi tuhuma kwa Makonda?
Mbona Sabaya iliwezekana, Makonda ana kinga yeyote dhidi ya jinai?
Eleza kwanini Makonda hashitakiwi ?Mwalimu wako alipata shida sana.