Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Huyu ni WA kufa mapema maana ndio alikuwa msimamizi mkuu was genge la wasiojulikana.

Pia ndiye aliyesimamia kupigwa risasi Tundu Lissu.

Hawezi kupona atamfuata shetani mwenzie kule kuzimu.
Hapana asife mapema apelekwe mahakamani ili naye aone mateso aliyosababishia wenzake japo hayatakua makubwa Kama Yale...muda huu nadhani anayakumbuka maneno ya chidi benz
 
Kijana alishikwa mkono na wazee wa CCM kina Samwel Sitta, akaja kuonekana kwa JK akampa shavu, akaja pia akaonekana tena kwa homeboy wake JIWE akapewa shavu, kijana akaota mapembe...akasahau umaskini wote wa kule kwao Koromije alikotoka, akaanza kuwapangia watu wa Dar namna ya kuishi hadi na wake zao, akajifanya kijana wa mjini kuwazidi hata hawa hawa waliozaliwa Aghakhan hosp; vijana waliojaribu kupiga utawala wa babake wa kufikia wakaishia shimo la tewa.

Huyu mwacheni apitie anayoyapitia, maana aliyataka mwenyewe.
 
Akihamia Ulaya hapa watamkamata na kumpeleka Amerika ambako anatafutwa kama mkiukwa haki za binadamu
 
Hivi mbona wamemchelewesha Sana huyu? Yaani ilitakiwa sasa hivi ni historia. Kama alivyotenda na atendewe. Mnyama mkubwa huyo. Ninajua kuna nchi zitamkataa pia hivyo akiwa anaomba ukimbizi kichwani ajue yuko blacklisted bàadhi ya nchi hata kama haijawekwa hadharani kama alivyofanya Marekani.
 
Utawala wa dikteta ndio ulikuwa unateka watu na kuwadhulu, JK utawala wake haukuwa na mambo ya kishamba
 
R.I.P Wilson Kabwe, former Mkurugenzi Wa Jiji la Dar...
Daah nikikumbuka hiki kifo na kile cha Ben Saanane basi Acha tu Karma ichukue mkondo wake. Halafu alijidai kuhudhuria msiba wa Wilson. Hekoo Sana kwa familia ilikataa kupoka mkono wake wa salamu. Makonda Bashite alijiona Mungu kumzidi hata Mungu.
 
tulia wewe sukuma gang, kipindi Cha dikteta mlikuwa mnataka atawale milele! Leo unataka chama upinzani imara,kwani hakukuwa na vyama imara wakat wa dikteta!?
 
We umekua Nini, hivi mitanzania ilivyo mioga hivyo unataka upinzani wafanyeje
 
Duh....ushauri mzuri , je utafatwa.
 
Kama sio upinzani halisi wewe anzisha upinzani halisi, yaani mpinzani Kama Lissu, amekuwa kilema, Mbowe amefilisiwa, wekwa jera 8 months, kina Ben washazikwa, Mawazo alikatwakatwa Kama kuku, kina mdude alimanusra azikwe, bado unawabeza, basi anzisha chama chako ambacho kitakuwa upinzani pure, mbuzi wewe
 
Ni kweli akitoka hadhalani akawaomba radhi wantazania anaweza kusamehewa,changamoto iko kwa wale jamaa ambao kwao msamaha ni dhambi isiyosameheka.
Hawa wakisha hukumu wamemaliza na hawarudi nyuma na wanapanga ufe kifo kwa jinsi itakavyowapendeza wao, rejea vifo vya akina Amina Chifupa na mumewe na Masogange pia. Hivyo hata akikimbia nchi hawa watamfuata kwani mtandao wao upo kila nchi, ni bora akomae hapahapa yatayomkuta yamkute hapahapa kama yaliyonkuta marehemu Samuel Doe.
 
Makonda plz fata huu ushauri
 
Hii swala ya kuchukia kanda moja haina maana. Na haya mambo ya kisasi usidhani yataisha au hao unaodhani wameshika maeneo nyeti wataendelea kuyashika. Ni heri Makonda akamatwe apelekwe katika vyombo vya sheria. Nakiri Makonda alijisahau, alidhani yeye ni yeye. Lakini kwa nimjuavyo Makonda ndivyo alivyo, ni mtu wa kupenda kutumia majina ya wakubwa ili kupata akitakacho.

Hii tabia anayo hata kabla hajawa na madaraka ya Ukuu wa Wilaya au Mkoa. Amekuwa akijisiia kuwa na kikundi cha maovu. Akishitakiwa atapata muda wa kujutia matendo yake mabaya na yaliyo kinyume cha sheria ktk jamii.
Ila na hao watu wanaodhania sasa wameshika nchi muda wao unahesabika, hivyo wasijisahau na kuwa kama Makonda, mambo ubadilika. Visasi ni vibaya. Ila sheria ikitumika ni haki sahihi.

Tuepushe nchi yetu isiwe kama Ethiopia, ambayo sasa watu ni kulipizana visasi. Kabila moja lilijisahau na kushika kila kitu, leo wengine wanalipiza. Matokeo yake kabila linaloonewa sasa likaingia vitani. Na makabila mengine yakaamka nayo kugombea keki ya nchi.
Huu ndo ubaya wa visasi. Hakuna atakae tawala milele. Ukitenda baya kwa mwenzio wapo watakao kutenda pia. Hivyo wasijisahau wakadhani sasa nchi ipo mikononi mwao.
 
🤣🤣
Hatimaye umeamka....mwenzako "RBC" naye anakula "minofu" ya wanaofaidi huo upande unaoona unadai haki....ha ha ha ha

#Siempre JMT🙏
 
Kama ni system inamtaka, hawezi kwenda kokote. Au umesahau mkurugenzi mstaafu safari yake ya Kenya ilipoishia Moshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…