Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Heehh makubwa. Mnataka akale kuku ulaya kama Lissu alivyoenda kula kuku Ubelgiji?
 
Leo ndio mmeanza kuwa wapole hivi??
 
Atavukaje boda? Kwa passport hii hii? Si inapigwa pini Kila alitaka clearance alarm inalia?.

Ili asiendelee kuchafua watu, apelekwe segere matata
Huyu drug dealer, ashindwi kusepa, kashirikiana Sana dealer wa drugs anaitwa daudi kanyau wa huko south. search humu utawaona makonda na kanyau mara kwa Mara alikuwa anakwenda kwa jamaa south
 
Na wewe ukiwemo ulikuwa mpambe wake.

Leo unamgeuka jemedari wako?

Mbona mtakimbiana mwaka huu.

Bado kesi haijafika mahakamani
 
Brave mind...
 

We acha tuu ndugu yangu. Haya mambo watu wanayachukulia powa, lakini Makonda aliumiza watu na wakaumia kweli kweli. Unajua kama janga halijakupata, siyo rahisi kuelewa.

Mimi siku zote najiweka kwenye viatu vya Lissu aliyotendewa na utawala wa mwendazake, najiuliza ningefanyaje? mpaka leo sina jibu. Mwenyezi Mungu atupe nguvu! Imagine mpaka watu wanafika sehemu ya kumsimanga Lissu kwamba ali-fake zile risasi? Imagine!

Napenda siasa. Lakini nachukia dhulma kwa nguvu zangu zote. Hawa wanasiasa wanaodhulumu haki za walalahoi watachomwa moto hapa hapa duniani! Karma is real!
 
Makonda ametoa funzo kwa Vijana tukipewa madaraka tuwe na mipaka na umakini mkubwa kwenye kudeal na mambo.. tutende haki na sio kunyang'anya haki, tuache tamaa za mali bali tujikite kwenye utumishi na maadili yake..
Somo hilo likupate hasa wewe. Hapa JFs tu unatukana watu hovyo sijui una stress gani.
 
Walisema eti zilikuwa plastic tu. Na mshahara ambao ungemsaidia ktk matibabu wakamnyanganya na ubunge akavuliwa. Mashila makubwa sana. Mungu atusamehe sisi watanzania tumetenda dhambi sana.
 
Mengi huyajui. Huyu dada ni Muhangaza kutoka wilaya ya Ngara. Ingawa katika ubaradhuli wa mumewe sioni kwanini na yeye alaumiwe. Au ndo ule msemo......mchuma janga hula na nduguze?

Wenye mji wao wanasema wacha dunia izunguke kwenye mhimili wake,......!
 
Hakuna mtu aliyeumizwa na makonda acha upumbavu wa kubeba ajenda za wengine. Kuwa busy
 
MNAMSHAMBULIA BASHITE....mi ninazimiss kauli zake za kishujaa tu....."

1.Mbunge yeyote hutakiwi kuoneka Dar es Salam wakati bunge kinaendelea,nikikukamata nitakusweka Lupango

2.Hapa Tanzania hakuna mtu anakula Raha Kama Mimi

3.Si ruhusa kuingia down town ndani ya jiji lake kama nguo hujanyoosha na umevaa yeboyebo sijui malapa,halafu unanukanuka kikwapa,MARUFUKU!

4.Wanawake wote mliozalishwa na kutelekezewa watoto mje mnione nataka niwashughulikie hao mabazazi!

5.Tutapima tezi dume wanaume wote jijini nyumba kwa nyumba!(alizua taharuki😂)

6.Kila alipokumbushwa sula la utata wa elimu yake jibu lake kuu kulikuwa"VITA YA MADAWA YA KULEVYA HAIJAWAHI MUACHA MTU SALAMA"

I miss you Daudi.
 
Nawe malcom lumumba mmehusika sana kuwatengenez wanasiasa kama hawa. Tubuni mliwapa kibri wakakuwa na kuzaliana wakawa wengi

Katiba Mpya bora itapunguza mambo kama haya.

Tufanye siasa za kimaendeleo tusonge mbele tanzania ni yetu sote.
 
Ashughulikiwe kihuninkama alivyoshughulikia watubwasio na hatia kihuni , Fala huyo , tena wamhasi kabisa
Unafurahia usiyoyajua na huyajui yaliyomo. Makonda ni wa leo na kesho, naona anawachezesha kwata
 
Walisema eti zilikuwa plastic tu. Na mshahara ambao ungemsaidia ktk matibabu wakamnyanganya na ubunge akavuliwa. Mashila makubwa sana. Mungu atusamehe sisi watanzania tumetenda dhambi sana.
Mpaka leo nikiwaza unyama aliofanyiwa Lissu, nashindwa la kusema.

Wacha watesi wake Mwenyezi Mungu awape wanachokistahili. To me that was the highest point of barbarism and sadism ever witnessed in our country.
 
Nawe malcom lumumba mmehusika sana kuwatengenez wanasiasa kama hawa. Tubuni mliwapa kibri wakakuwa na kuzaliana wakawa wengi

Katiba Mpya bora itapunguza mambo kama haya.

Tufanye siasa za kimaendeleo tusonge mbele tanzania ni yetu sote.
Katiba ya nyoko
 
Mpaka leo nikiwaza unyama aliofanyiwa Lissu, nashindwa la kusema.

Wacha watesi wake Mwenyezi Mungu awape wanachokistahili. To me that was the highest point of barbarism and sadism ever witnessed in our country.
Hizo sumu ulizolishwq zitakumaliza tu, mtoto mdogo umemezeshwa sumu na bahati mbaya unayotamani hayawezi kuwa
 
Kwaiyo Britannica Ni Buyobe wa Twitter ama lah onyesha acknowledgement kwa mwenye uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…