Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

[emoji1787][emoji1787] sema sa ivi nini sina kwere nawe. Upo vizuri, umeplay part yako mimi kuwa na cute wife hadi leo.

Nakupa maua yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo utuliee, ntakuporeshaa mke, afu upatee akilii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sipati picha hilo varangati lake lilikuajee.
Woiiiiih
Mbwa kala mbwa hyo inaitwa ila Kwenye harusi Nakaaya alikuwepo unajua ukiwa mkubwa eeehh unakua na hekima...
 
Sasa umbea wa Nancy na nakaaya hadi Mange alipost na watu wote wanajuaa, tenaa zamaniiiiiii. Kuna jipya lipi tenaaa??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna jipya...Tena Enzi za u turn blog
 
Yaan wee uwajue nakaaya na Nancy kuliko Mange?? Afu hii mbna ni ya zamani sanaaa, labda hukuwa mjini badoo.
[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]
 
Hakuna jipya...Tena Enzi za u turn blog

Umenikumbusha enzi za u turn na hekaheka za wadada kudate wazungu, dada wa taifa sasa mbwembwe zake na baba Kenzo khaaaaaaa!!

Unamkumbuka koku?!! Yaani nimemiss na zile emoji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom