Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

Kiufundi kabsa

Bundu ni ndege mwenye uwezo mkubwa wa kunusa au kupata harufu ya mzoga Kwa uweledi na umakini mkubwa bila kukosea

Na mwanaadamu kabla ya kukata roho yaani kabla ya kufa zinaanza kufa seli zake za mwili kwanza so mwanaadamu hapo anaanza kufa taratibu taratibu mpaka anapofikia kukata roho/kutokwa na roho

So bundi anaanza kupata harufu ya seli za mwanaadamu kufa kabla ya kukata roho so anajua pahala fulani kuna mzoga na anakuja ili aweze jipatia mabaki ya mzoga ili apate chakula kwa akili yake

Kuhusu bundu na imani ya kishirikina wapo wajuzi watawajulisha
 
😂😂😂😂Duuh bundi anawinda panya😂😂😂
Utaelewa tu

Kwa taarifa yako hilo alilieleza Daktari wa Ndege na Wanyama Pori ningeweza ningemrekodi kisha ningeweka hapa umsikilize tatizo watu ni wabishi wanaweza wakabisha hata kwamba hawakutoka kwenye k..ma za mama zao

Uwe na adabu
 
Kisayansi na kiroho vinakubaliana kuhusu mlio wa bundi.
Mtu ufa kiroho kwanza kabla ya kufa kimwili bundi ana sense kifo Cha mtu kabla ajafa.
Bundi anapolia ana search signal connection na mawasiliano ya kuzimu.
 
UONGO
 
Kisayansi na kiroho vinakubaliana kuhusu mlio wa bundi.
Mtu ufa kiroho kwanza kabla ya kufa kimwili bundi ana sense kifo Cha mtu kabla ajafa.
Bundi anapolia ana search signal connection na mawasiliano ya kuzimu.
UONGO umekaririshwa UONGO
 
Huku tungekua wote tumeshakufa km ni hivyo UONGO uliotukuka

Huku Bundi usiku wanalia km wanavyolia njiwa na kunguru haya una lingine la kuniambia

Au nikwambie uje nilipo uje ushuhudie?
 
Nakujibu kisayansi:-​
  • Bundi ni ndege anayeona usiku vizuri kuliko mchana:- usiku kwake ndio mchana, na ndio muda anaotafuta chakula chake.​
  • Bundi ula ndege wadogo, mizoga n.k​
  • Bundi unusa mbali harufu ya mzoga, au kiumbe ambacho seli zake zinaoza/anakaribia kifo na kuelekea kuwa mzoga ili aweze kupata chakula​
Kwa mazingira hayo,bundi akiwa analia mara kwa mara katika mazingira fulani; tathmini wagonjwa waliopo maeneo hayo, na inawezekana baadhi yao seli zao zimeshaanza kufa katika kuelekea kwenye kifo.

Tunaweza kujiuliza, je mahospitalini bundi huwa wanalia usiku?​
 
Ishu ya hospitalini ni masuala ya utawala mwingine wenye nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…