Nakwambia kitu ninachokifahamu siropoki tu nakwambia huku nilipo Bundi wapo na wanalia usiku na hakuna hicho mnachokisema nyinyi mmekaririshwa UONGOUongo Huwa uongo kama huna elimu kuhusu Hicho kitu
Mimi ni Shuhuda, mwaka 2020 Mwezi April tarehe 19 usiku, nikiwa hapa Europe- Bundi alilia sana juu ya paa langu saa nane usiku (kwa hapa Ulaya hii ni nadra sana na sijui huy Bundi alitokea wapi, hata mke wangu alishangaa na akaanza kusema angels are visiting us), nikatoka nje nikamfukuza na kurudi kulala, baada ya muda , mbweha naye akaanza kulia kama sauti ya mtu... nikasema leo kuna namna. Sijakaa sawa, paka akaanza vile vile... ile kumekucha tu, naambiwa pole sana kwa kufiwa na kaka yako. Na sio hiyo tu, huwa nikiota kwamba niko kwenye sherehe ya kula nyama, ni lazima ndugu yangu wa karibu naye akitoe, sijui huu ni uhusiano wa namna gani. Wiki jana tu nimeota habari za kula nyama na Bundi akalia usiku, asubuhi yake binamu wangu ambaye alikuwa ni bodaboda, akasagwa na bus la JWC hapo Maili Moja Kibaha. Usidharau unachoota ukiwa umelala, wakati mwingine ni messages. Na nina mambo mengi sana ambayo nimeyaona ndotoni na nikayashuhudia, mfano, niliota oia kwamba malika na mashetani yanapigana hapo mtaani wangu, kulipo kucha tu , mchana wa siku hiyo kukatokea zogo kubwa mtaani kwangu na mmoja wa marafiki wangu aliuwawa kwa kuchoma kisu na washikaji zake...UONGO bundi ni ndege tu hana hayo masuala ya mauzauza ni maruweruwe yako tu yanakusumbua
Na huu ndio ukweli hautaki beba bango andamana
Huku ninapoishi kuna bundi kibao wanalia usiku hakuna hizo Mambo za uchuro
Jibu swali hospitalini bundi wanalia usiku au hawalii usiku km hawalii kwanini hawalii usiku? Sio unakimbilia utawala sijui nini kwani hospitalini hakuna watu hakuna wagonjwa mahututi ambao seli zao zimeshakufa?Ishu ya hospitalini ni masuala ya utawala mwingine wenye nguvu
Ahahahaaa... !! na seli zako zimekufa?Mimi namfuga na ninaumwa 😄 🤣
Sina expirience na hili sijawahi kulazwa hospitali maisha yangu yote au kuishi jirani na hospital so sijafanya tafiti kupata jibuJibu swali hospitalini bundi wanalia usiku au hawalii usiku km hawalii kwanini hawalii usiku? Sio unakimbilia utawala sijui nini kwani hospitalini hakuna watu hakuna wagonjwa mahututi ambao seli zao zimeshakufa?
Kule inawezekana labda kwa sababu ya madawa ya kutunza mazingira, pamoja na za kutibu wagonjwa, zinapunguza uwezo wa bundi kunusa.Ishu ya hospitalini ni masuala ya utawala mwingine wenye nguvu
Sikia Bundi ni Ndege wewe elewa tu Bundi ni Ndege na hana hizo Imani zako za kuamini sijui ukimuona Bundi au ukimsikia Bundi basi kuna mkosi utatokea hio haipo, huku ninapoishi Bundi wanalia usiku km wanavyolia njiwa na tumeshazoea hakuna baya lolote linalotokea hakuna mtu aliekufa hakuna taarifa mbaya na Bundi analia analia analia na analia 'KRUKU KRUUKUKU KRUKU KRUKUKU' iweje wewe umuhusishe Bundi na Imani potoofu?Mimi ni Shuhuda, mwaka 2020 Mwezi April tarehe 19 usiku, nikiwa hapa Europe- Bundi alilia sana juu ya paa langu saa nane usiku (kwa hapa Ulaya hii ni nadra sana na sijui huy Bundi alitokea wapi, hata mke wangu alishangaa na akaanza kusema angels are visiting us), nikatoka nje nikamfukuza na kurudi kulala, baada ya muda , mbweha naye akaanza kulia kama sauti ya mtu... nikasema leo kuna namna. Sijakaa sawa, paka akaanza vile vile... ile kumekucha tu, naambiwa pole sana kwa kufiwa na kaka yako. Na sio hiyo tu, huwa nikiota kwamba niko kwenye sherehe ya kula nyama, ni lazima ndugu yangu wa karibu naye akitoe, sijui huu ni uhusiano wa namna gani. Wiki jana tu nimeota habari za kula nyama na Bundi akalia usiku, asubuhi yake binamu wangu ambaye alikuwa ni bodaboda, akasagwa na bus la JWC hapo Maili Moja Kibaha. Usidharau unachoota ukiwa umelala, wakati mwingine ni messages. Na nina mambo mengi sana ambayo nimeyaona ndotoni na nikayashuhudia, mfano, niliota oia kwamba malika na mashetani yanapigana hapo mtaani wangu, kulipo kucha tu , mchana wa siku hiyo kukatokea zogo kubwa mtaani kwangu na mmoja wa marafiki wangu aliuwawa kwa kuchoma kisu na washikaji zake...
Ninacho taka kusema nini? usiwe pinga pinga kila kitu, maana ktk ulimwengu mwingine haya mambo ni ya kawaida sana na maisha yanaendelea mwili ukiwa hauna uhai kwa mujibu wa huyu bwana Dactari wa upasuaji aliyepigwa radi na akapona- hebu sikiliza ushuhuda wake hapa :
View: https://youtu.be/fCV7ayCLA1A?si=HrjsIt965idR7ab-
Basi usiongelee KITU usichokua na uhakika nachoSina expirience na hili sijawahi kulazwa hospitali maisha yangu yote au kuishi jirani na hospital so sijafanya tafiti kupata jibu
Huyu jamaa muongo kweli yan. Kaenda google uamepata io picha unakuja kutupiga na kambaUtaelewa tu
Kwa taarifa yako hilo alilieleza Daktari wa Ndege na Wanyama Pori ningeweza ningemrekodi kisha ningeweka hapa umsikilize tatizo watu ni wabishi wanaweza wakabisha hata kwamba hawakutoka kwenye k..ma za mama zao
Uwe na adabuView attachment 2748939
Kutokujua hakumaanishi uongo au ukweliBasi usiongelee KITU usichokua na uhakika nacho
Ni myths na siaminiAhahahaaa... !! na seli zako zimekufa?
Sio ku-google wewe kichwa tupu hio nimekupa kuonyesha ushahidi maana kuna mjinga mwenzio alikua anabisha au hadi muwekewe video clip? Kuna matoto mabishi balaaHuyu jamaa muongo kweli yan. Kaenda google uamepata io picha unakuja kutupiga na kamba
Ndio nimeshakuambia Bundi ni Ndege tuKutokujua hakumaanishi uongo au ukweli
Hapa inapoishi kwenye magorofa ya nssf mbona wanalia kila uchwao na hakuna kitu inatokea?Wanasema ndege huyo huwa ana uwezo wa kuhisi kifo. Habari hizi nilizisikia kwa baadhi ya wazee miaka ya nyuma kidogo nilikuwa kijiji kimoja huko Dodoma ndani ndani.
Kunusa? Si mnasema ana-sense seli zilizokufa akiwa mbali? Msituvishe kamba hapa Bundi ni Ndege hana hayo Mambo yenu ya Imani potoofu Kamchape Lambalamba nyinyi mnakaririshwa ujingaKule inawezekana labda kwa sababu ya madawa ya kutunza mazingira, pamoja na za kutibu wagonjwa, zinapunguza uwezo wa bundi kunusa.
Nakuambiaje huku nilipo Mimi Bundi kibao hakuna hilo suala sijui la fulani kafa kisa Bundi amelia usiku kucha km ingekua hivyo wote tungekua Marehemu mda huuHapa inapoishi kwenye magorofa ya nssf mbona wanalia kila uchwao na hakuna kitu inatokea?
Pia kijijini petu, home jirani kuna limti kubwa mno mibundi kibao inalia usiku na hamna kitu mbaya inaskika.
Nadhani ni hisia tu na Imani za kimila