Cruz David
Member
- Jul 22, 2017
- 62
- 76
We unaijua elimu wewe? Ebu kua serious bhasi, ushawahifanya research kuhusiana na hilo swala??? Hayo mambo yapo, acha ujuajiKukosa elimu ni mbaya Sana leo ndo nimeamini kupitia hili bandiko
Kisayansi mtu anapokaribia kufa hutoa harufu ya bakteria wanaokula sehem lain lain za mwili kama maini,utumbo mnene na mwembamba, na bundi ndie kiumbe mwenye uwezo wa kusikia haruf itokayo kwenye mizoga..na huita viumbe kwa mlio wake waje kusafisha mazingira kwa kula hiyo mizoga...UONGO bundi ni ndege tu hana hayo masuala ya mauzauza ni maruweruwe yako tu yanakusumbua
Na huu ndio ukweli hautaki beba bango andamana
Huku ninapoishi kuna bundi kibao wanalia usiku hakuna hizo Mambo za uchuro
Bundi hana mda na panya...anakula wadudu zaidi..Ni UONGO bundi hana hizo Mambo kinachomfanya bundi afuatilie nyumbani kwenu anawinda PANYA sio habari za mtu kufa sijui mzoga kufanya nini hizo ni porojo tu hakuna ukweli wowote
Bundi wana miti?Unakuta bundi anapigwa miti analia kimahaba akisema ooooh yes ongeza mwendo ,wewe uko zako ndani unasema Ni uchuro kumbe wanakulana huko juu ya mti
Kuhusu Roho hii ni elimu kuwa sana hii kuliko upeo wako nduguHakuna kitu kinaitwa roho. ni stori za vijiwe vya kahawa.
Weka picha ya Banda lako la bundi tuchukue ufundiMimi nafuga bundi na unachokisema ni Uongo au Akili za Watu wenye upeo Mdogo.
Bundi ni ndege akilia mara nyingi NI akiwa ananjaa, au anakiu.
Mbona mahospital hawendi na kila siku wagonjwa wanapelekwaBundi ananusa alafu na kuisi mzoga maana mtu uanza kufa taratibu hasa mgongwa na ndio maana bundi ulia sana kwenye nyumba zenye wagonjwa waliozidiwa.
Mkuu Kama huwezi kufanya meaningful discussion bila kuanza kuitana majina au kuwashusha wengine, ingekuwa vyema ukachagua watani wako spesheli maana si kila mtu yupo jf kwa ajili hiyo including me 🙏🏽🙏🏽Bundi ni Ndege huyo wa kwako wewe wa kiimani ni wa Kamchape Lambalamba na hao mabwana wanaowalisha huo ujinga wameshapigwa marufuku wakionekana tena wanaleta Imani zao za ajabu ajabu kutisha watu na kuwabambika watu masuala ya UONGO UONGO wanaenda kunyea debe Segerea na Ukonga
Bundi ni Ndege km alivyo njiwa, mwewe, kunguru, na wengineo tofauti yake yeye anafanya mawindo yake ya kujitafutia kitoweo wakati wa usiku ndio anavishwa Imani za ajabu Ila ni Ndege tu
Bundi wana miti?
Mm bundi kashalia sana juu ya paa ya nyumba yangu tena 3 days..huu ni mwezi wa 3 hakuna cha nini wala nini....na hakukua na mgonjwa..so ni mind set na vile tuu watu venye wanawaza...Nakwambia kitu ninachokifahamu siropoki tu nakwambia huku nilipo Bundi wapo na wanalia usiku na hakuna hicho mnachokisema nyinyi mmekaririshwa UONGO
Unaweza kuwinda panya ukiwa unapiga kelele na ukawapata? Hata paka akitaka kuwinda panya huwa anaenda kimya kimya sasa huyo bundi atakua ni kichaa kama anaenda kuwinda halaf anawastua panya Kwa kupiga makeleleNi UONGO bundi hana hizo Mambo kinachomfanya bundi afuatilie nyumbani kwenu anawinda PANYA sio habari za mtu kufa sijui mzoga kufanya nini hizo ni porojo tu hakuna ukweli wowote
Tumekaa home kwa baby bundi kula siku analia. Huu mwaka wa 10 wale bundi wapi na watu hawafiWanasema ndege huyo huwa ana uwezo wa kuhisi kifo. Habari hizi nilizisikia kwa baadhi ya wazee miaka ya nyuma kidogo nilikuwa kijiji kimoja huko Dodoma ndani ndani.
Wewe ndio kwisha habari kabisa yaan ulichoandika hapo usifute ili watu wajue kiwango cha utoto ulionao kichwani,Unaweza kuwinda panya ukiwa unapiga kelele na ukawapata? Hata paka akitaka kuwinda panya huwa anaenda kimya kimya sasa huyo bundi atakua ni kichaa kama anaenda kuwinda halaf anawastua panya Kwa kupiga makelele
Ndio watu kutishana tu na Imani zao za ajabu ajabu Ila sababu ni mafundisho ya Mila, Desturi na Tamaduni za maeneo tofauti, wengine hio Imani haiwatoki kichwani wakisikia Bundi kalia juu ya paa wanajua humu ndani kuna mtu atakufa kumbe sio kweli ni UONGOMm bundi kashalia sana juu ya paa ya nyumba yangu tena 3 days..huu ni mwezi wa 3 hakuna cha nini wala nini....na hakukua na mgonjwa..so ni mind set na vile tuu watu venye wanawaza...
Kuhusu Roho hii ni elimu kuwa sana hii kuliko upeo wako ndugu
😆 Baby what!?!Tumekaa home kwa baby bundi kula siku analia. Huu mwaka wa 10 wale bundi wapi na watu hawafi
wenye elimu wako kimya tulia na chai yakoKukosa elimu ni mbaya Sana leo ndo nimeamini kupitia hili bandiko