Naanza kutilia shaka uwezo wa Rais Samia kuongoza Taifa

Tangu mwaka 2015, nchi ya Tanzania ilipata Rais na makamu wa Rais mafwamba...

Kafa fwamba mkuu mwanaume march, 2021 akarithi fwamba wa kike na ndiye huyu sasa...

Ni shida lakini Mungu ni mkubwa kuliko wao, tutashinda. Tuendelee kupambana kwa kila njia possible...
 
Wapinzani hawana akili siku hizi toka magufuli kuchukua nchi ndiyo wamepoteza kabisa akili hadi leo wamekuwa wendawazimu
 
Reactions: nao
Unatumia nguvu nyingi kujenga hoja zisizo na nguvu. Kwamba nchi zote ambazo zimetangaza kuwahukumu magaidi hazina
Unatumia nguvu kubwa kujenga hoja isiyo na nguvu. Kwamba nchi zote zilizotangaza kuwahukumu magaidi hazipati wawekezaji? Kaulize Marekani, na huko Kenya alikokimbilia gaidi Mbowe
 
Hivi kumbe miamala ni ya chadema tu?

Vipi kushadadia chanjo za majaribio?

Vipi rais anatoka Ikulu ya Dodoma anakuja Dar anawaita mawaziri toka Dodoma wanaongea alafu jioni hiyo anapanda tena ndege kurudi Dodoma?

Mbona unawaza kama mtu ambaye hana kichwa? Kwahiyo ni sahihi kuwashika wapinzani Hovyohovyo na kuwaweka ndani kisa katiba?

Hii katiba ni ya chadema au ya watanzania wote?

Nashindwa nikuite jina gani maana mpumbavu halikutoshi
 
Tofauti ya watawala wa kiafrica na ulaya ni kwenye kushaurika.
Wa ulaya upokea na kufanyia ushauri wowote hata wa muuza miwa,au mtu masikini kabisa, afrika mtawala kupokea ushauri ujiona ni udhaifu thus wanafeli.
Ulaya ofisi zao zipo mitandaoni wananchi wanasema nini, wananchi wanataka nn thus wao awafeli kwenye uongozi uongozi.
Watawala wa kiafrica ni wajuaji thus wanafeli.
 
Duh kwani tunaandika thesis kuwa lazima kuwe na abstract, introduction, review of literature, methodology blah blah.

What we do here in JF is like the ‘tip of an iceberg’.
 
Akina Kakurwa Bashiru walimshtukia mapema Mabeyo akawastopisha! Lakini nafasi ipo miaka yake 5 ataimaliza kwa kutumia majini ya zenji nayo kama yakiafiki!
 
"Hata msipotupigia kura tutaunda serikali tu.............. Mimi na JPM ni kitu kimoja"... SSH.
LET MBOWE FREE!!!
 
Si mlisema huyu si mitano bali tumpe 10 kwa sababu anawakomesha sukuma gang na matanga,mwacheni aupige mwingi bwana ulijua kudemkwa nyie people.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Huna akili ndg rais alitoka rwandana kukuta msiba wa waziri na mawaziri wote walikuja dsm kumuaga waziri mwenzao then wakaketi ktk baraza baada ya happy kila waziri aliendelea na majukumu yake sio wote wapo ddm wengine wako ktk ziara mikoa tofauti
 
mm siamini kama wasaidizi wa mashungi hawana uelewa nahisi wanatoa wrong source of information ili kum-choresha tu aonekane hana uwezo wa kuongoza
 
Kwamba, Mbowe alikimbilia Kenya akaanza kupanga ugaidi, kidiplomasia hili halina afya linaweza kusababisha mgogoro kuwa Kenya inahifadhi watuhumiwa wa kigaidi.
Mbowe hakukimbilia Kenya na kuanza kupanga ugaidi, bahati mbaya umenukuu vibaya au kwa makusudi unapotosha ukweli. Tuhuma dhidi yake ni za kabla ya uchaguzi wa 2020 isingewezekana akapange ugaidi Nairobi alikoenda karibuni. Kwa Mujibu wa maelezo ya SSH, Mbowe alikimbilia baada ya kuona upelelezi juu ya kesi yake ya 2020 umeanza kuwa moto. Nanukuu “Tumeingia kwenye uchaguzi, tumemaliza. Sasa polisi wamemaliza uchunguzi wao wamemhitaji kwa ajili ya kuendelea na kazi yao. Lakini kama utakumbuka Mbowe hakuwa nchini kwa kipindi kirefu, alikuwa Nairobi."
...“Lakini alivyoingia nchini aliitisha maandamano ya Katiba. Nadhani yalikuwa na mahesabu akijua kuwa ana kesi ya namna hiyo na hii vurugu anayoianzisha, akikamatwa aseme kwa sababu ya Katiba,” alieleza Rais Samia.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…