Rugwa
Member
- Oct 5, 2012
- 36
- 24
Ha ha ha ha haaaaaaa.....mamaaaaaa!box tupu hata ukiliweka ndani mwaka mzima utallikuta tupu vilevile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha haaaaaaa.....mamaaaaaa!box tupu hata ukiliweka ndani mwaka mzima utallikuta tupu vilevile.
Black lives matters inaongozwa na vyama vya siasa?Baada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake wa kutambua mambo ni mdogo.
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na watu wake (inner circle) aliowaamini waliokuwa wanampatia taarifa sahihi hasa za ndani, SSH hana anategemea watu wa system ambao wengi wao wana ajenda zao binafsi ikiwemo ya kumpata mrithi baada yake.
Kwamba Marekani wakimaliza uchaguzi hakuna mikutano ya hadhara wala maandamano, it’s wrong, hadi leo Trump anafanya mikutano, Marekani maandamano ni kila siku tumeona wakati wa ‘Black Lives Matters’ nk nk.
Kwamba yeye (Samia) hawezi kuingilia kesi iliyo mahakamani wakati huo huo anazungumzia maendeleo ya kesi iliyopo mahakamani, kuwa, wanaoshitakiwa kwa ugaidi pamoja na Mbowe kesi zao zimeshasikilizwa na wanatumikia vifungo kabaki Mbowe, hii ni kama keshamhukumu Mbowe anawajenga watu kisaikolojia kuwa kama wenzake wamehukumiwa lazima Mbowe naye atumikie kifungo, hii sio sahihi.
Kwamba, Mbowe alikimbilia Kenya akaanza kupanga ugaidi, kidiplomasia hili halina afya linaweza kusababisha mgogoro kuwa Kenya inahifadhi watuhumiwa wa kigaidi.
Kama Rais mwenyewe anaitangazia dunia kuwa kuna watu Tanzania wamehukumiwa kwa ugaidi anategemea investor gani ata invest kwenye nchi ya magaidi, it’s just a common sense kulitambua hilo.
Haya ni machache kati ya mengi niliyoyaona kuhusiana na uwezo wa Rais kuchambua mambo kwa hadhi ya urais. Kama ni wasaidizi wake wanampotosha ama yeye kwa makusudi anaamua kupotosha, basi yampasa awe na uwezo wa kugundua na kujua madhara yake.
Leo kuna watu wameanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa Samia (kiuongozi).
Ndio maana nikasema naanza kuwaelewa watu hasa ‘Sukuma Gang’ kina Gwajima, Polepole, Bashiru wanaoonyesha wazi kutofautiana na Mwenyekiti wao, pamoja na sababu kutosemwa lakini wana send message kuhusiana na uwezo wa rais.
Shida yetu wa Tanzania hatujielewi. Kila mtu akija tunamutoa kasoro kibao. Nina uhakika, hata Mbowe akipata urais tutaanza kumponda wakati sasa hivi ndo tunamushabikia.Magumu Yapi ? Mbona nchi inaenda vizuri tu!
Kiongozi wa kambi ya upinzani, chama kikubwa cha siasa awe gaidi nchi gani hii!!Ametangaza kuwa mtu anayetuhumiwa kwa ugaidi ameshtakiwa!! Hili sio kizuizi kwenye uwekezaji
maana chadema yote yote yanajifanyaga ni maana sheria nguli au wabobeziVINGI SANA ! Kipimo kimoja kidogo tuu ! Jinsi alivyo jibu maswali ya Salim Kikeke wa BBC ! She exposed herself and the country ! Eti kuna magaidi yamefungwa humu nchini ! Da ! Nani aje kuwekeza nchi yenye magaidi? Hao wa uwamasho wenyewe miaka 9 jela na bado walishindwa kuwafungulia mashitaka mpaka yeye mwenyewe kwaachilia !! Anaelezea safari ya Mbowe Kenya ya kwamba alienda huko kupanga njama, kisha akarudi na kuanzisha makomgamano / maandamano ya katiba mpya kama kificho! Je mahusiano yetu na Jamhuri ya Kenya kidiplomasia inakuaje ? Kwa nini gaidi aliruhusiwa kufanya kampeni wakati wa uchaguzi na asikamatwe ? HUYU MAMA IQ YAKE NI NDOGO MNO NA HATARI SANA KWA TAIFA HILI ! LAZIMA ADHIBITIWE HATA NA HAO WAKIJANI WENZIE ! THIS COUNTRY CAN'T AFFORD SUCH A SLOW AND BACKWARD THINKING PRESIDENT !
Mabeberu yapi yale yaliyompatia mama chanjo ya bure.Nikweli mama IQ ndogo lkn hawa wapinzani wachumba wa mabeberu, magaidi hawafai hata kuwa viranja wa chekechea kelele zote ni kwa ajili ya matumbo yao
Kinacholindwa, kinachopiganiwa kitateleza kama mlenda. Inatakiwa umakiniTutafika huko 2025 basi mkuu ? Huyu mbona chali mda wowote !! Extremely low IQ for a president!
Kwani mimi nimesemaje, kumbe Chadema walipongeza mbona huwa mnasema wao kila kitu kupinga.Wala hujui. Mbona kwenye hiyo kesi kuna wameshahukumiwa. Wala kukamatwa mbowe kwa ugaidi haina negative effect yoyote kwa mahusiano yetu na kenya wala nchi zingine. In fact inaonyesha tuko vizuri kwenye usalama. Kwenye hiyo interview samia kaonyesha yuko wapi in relation na namna ya uendeshaji nchi na magufuli. Chadema walishangilia eti ni mtu wao sasa wanakua dissapointed.
Mama anaupiga mwingiNadhani dawa imeanza kutuingia taratibu.
huyo mama amejiridhisha kuwa watanzania ni makondoo.Nme shangaa eti ana tushukuru kwa kukubari tozo uyu mama vipi
Baada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake wa kutambua mambo ni mdogo.
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na watu wake (inner circle) aliowaamini waliokuwa wanampatia taarifa sahihi hasa za ndani, SSH hana anategemea watu wa system ambao wengi wao wana ajenda zao binafsi ikiwemo ya kumpata mrithi baada yake.
Kwamba Marekani wakimaliza uchaguzi hakuna mikutano ya hadhara wala maandamano, it’s wrong, hadi leo Trump anafanya mikutano, Marekani maandamano ni kila siku tumeona wakati wa ‘Black Lives Matters’ nk nk.
Kwamba yeye (Samia) hawezi kuingilia kesi iliyo mahakamani wakati huo huo anazungumzia maendeleo ya kesi iliyopo mahakamani, kuwa, wanaoshitakiwa kwa ugaidi pamoja na Mbowe kesi zao zimeshasikilizwa na wanatumikia vifungo kabaki Mbowe, hii ni kama keshamhukumu Mbowe anawajenga watu kisaikolojia kuwa kama wenzake wamehukumiwa lazima Mbowe naye atumikie kifungo, hii sio sahihi.
Kwamba, Mbowe alikimbilia Kenya akaanza kupanga ugaidi, kidiplomasia hili halina afya linaweza kusababisha mgogoro kuwa Kenya inahifadhi watuhumiwa wa kigaidi.
Kama Rais mwenyewe anaitangazia dunia kuwa kuna watu Tanzania wamehukumiwa kwa ugaidi anategemea investor gani ata invest kwenye nchi ya magaidi, it’s just a common sense kulitambua hilo.
Haya ni machache kati ya mengi niliyoyaona kuhusiana na uwezo wa Rais kuchambua mambo kwa hadhi ya urais. Kama ni wasaidizi wake wanampotosha ama yeye kwa makusudi anaamua kupotosha, basi yampasa awe na uwezo wa kugundua na kujua madhara yake.
Leo kuna watu wameanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa Samia (kiuongozi).
Ndio maana nikasema naanza kuwaelewa watu hasa ‘Sukuma Gang’ kina Gwajima, Polepole, Bashiru wanaoonyesha wazi kutofautiana na Mwenyekiti wao, pamoja na sababu kutosemwa lakini wana send message kuhusiana na uwezo wa rais.
Tuombe mungu taifa hili lipo katika uvuli na umbwe kubwa la kisiasa.
wambie walegeze tako sindano isivunjike na dawa iwaingie sawasawa.Nadhani dawa imeanza kutuingia taratibu.
Inshort jana Salim Kikeke amechezea per diem ya BBC kwa kwenda kutalii Ikulu na kupigiwa soga zisizo na kichwa wala miguu.Pale hamna kitu.Binafsi mwanzo nilichanganywa na ushungi pamoja na ile miwani nikajua tumepata bonge la Rais kumbe hajui hata anaongoza nini.
Rais muongo muongo sana na hajui hata nchini kwake nini kinaendelea.
This analysis fits in Republic of JF, or people of very low intellect. Analyse Samia through the following question to convince us that what you feel is cosmic understanding of how she is.Baada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake wa kutambua mambo ni mdogo.