Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar


Utasema je atakuwa wa mwisho wakati katiba inataka makamu kutoka upande wa pili na je makamu akimroga mkuu wake kwani uchawi na majini hayapo?
 
Mkuu ila si unafahamu dua la kuku huwa halimpati mwewe?
 
Watz wenyewe washakuwa mazombi, humu Tz wote ni wa kike sijaona wa kiume kama somalia, Kenya, na congo tz wote wanawake tuu

Na mashoga skuizi yamezidi wanaume lege lege Kila mahali ndo utawashawishi wapambanie nchi kweli??????
 
Ndoto za mchana
 
Mbona anafanana na Hayati mwingi Mkuu?
 
Hata Gen. Mabeyo naye alitukosea sana
 
Unajua kwa nini gwajima alipewa jimbo la kawe Baada ya kuliamsha dude kwa makondo na kumsema juu ya matendo yake tena chanzo kikiwa juu ya kufamia ofisi za clouds media kwahiyo gwaji boy hakuanza kipindi hiki
Mpeni tu kibri mara oh gwaji boy, ataishia kudhalilika, sijui mtaonyesha wapi sura zenu



Free palestine πŸ‡΅πŸ‡Έ
 
Wewe kama nani mkuu? Halafu unatumia ID fake, hebu tumia jina halisi kisha uongee haya maneno, tuone kama wewe ni kidume kweli.

Kwenu akiongoza Muislamu ni kosa japo sio wote
Mbona hajasema hatokuja kuteuliwa muislam?
Hii habari ya dini umetoa wapi?
 
Duuh πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Tuuvunje tu kila mmoja akae kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…