Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Wakati Mwinyi akiwa ikulu pengine ulikuwa mwanafunzi wa darasa la pili. Miaka 20 au 30 ijayo pengine hautakuwa miongoni mwa wanaovuta hewa ya oxygen.Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Unajua wazanzibar na wacomoro hawana tofauti kitabia na kinasaba?Znz ina mchanganyiko wa waarabu hivyo itapata sapoti kubwa sana kwa ndugu zetu waislamu
Mi naanza kuhesabu hizi siku 60 leo siku ya pili!Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Ww kichaa kwel!! Gwajima hawajawai kukamatwa na kusingiziwa kesi ya madawa ya kulevya!! Tatzo lenu nyie mnashndia madrasa muda wote hata habar za Kawaida hujui unakuja kuharisha hapaGwajima amekua muongeaji kipindi cha mama, wakati wa magu ulishahi kumsikia akipaza sauti? Mauaji ya watu wasiojulikana ulishamsikia akimkoromea magu?
Mwanamke?si mnasema uislam umenyooka haya sasa na sheikh awe mwanamke.Kwenu akiongoza Muislamu ni kosa japo sio wote
We unaumwa nenda katibiweHuyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Jifunze kuandikaKuna kitu nilikiandika mkutaka kusoma.siku kupata uraisi tu baada ya kifo cha JPM na kwenda kwa wajomba zake oman kulikuwa kuna nini.
kwa nini wa oman waliondolewa kwa mapinduzi na kwa nini ni wajomba zake wapo kule ina maana kuna hasira ambayo watanganyika kuna siku mtaiona wazi sasa.
Kwani Comoro ni Zanzibar?Mantiki ya ulinganisho wako ni nini?Comoro mbona hawaendelei?
We ni zombie tu upuuzwe, mkishindwa kupata madaraka kwa njia ya kawaida mnakimbilia kutumia njia za kipuuzi km kutumia ubaguzi, hamtafanikiwa lolote Tanzania ni moja Zanzibar ni sehemu yake.Kwakweli nakubaliana na Wewe nawachukia CCM , lakini napenda waweke mgombea Mtanganyika, angalau atakuwa na ndugu huku bara na atakuwa na huruma, Hii ya kuleta mtu kutoka nchi nyingine aje kutawala bara sio sahihi, na hii watanzania tuambizane, na ndomana mama aliamua kujipitisha mkutano mkuu, Watanganyika wasingekubali kumpa nchi mzanzibari , miaka 1000
Huu ukweli hata CCM wanaujua, sema nao ni waoga, muliro muoga akiongea anashughulikiwa, pm muoga akiongea anashughulikiwa, spika muoga akiongea anashughulikiwa, DGIS muoga akiongea anashughulikiwa, CDF, IGP wote waoga wakiongea wanashughulikiwa. Rais ni '' M U N G U'' T ANZANIA HII.
Nawaomba wana CCM, WANACHADEMA, CHAUMA, Tushirikiane tumuondoe kwanza huyu mzanzibar, hayo mengine tutaongea kindugu
Tangulia we bwege usiye na faidaKafie kuzimu
Bwege mamakoTangulia we bwege usiye na faida
Hata kujua hilo inataka uwe umesoma kidogo.Hawa wavimba macho wanaendeshwa na chuki na hasada hawajui hata wanaandika nini.As long as kuna utaratibu wa kuwa na makamu wa rais kutoka upande wa pili wa muungano, probability ya kumpata rais mzanzibari ipo, maana upo uwezekano wa rais kufia madarakani.