Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Why do you think God let the serpent deceive Eve knowingly? What was the reason behind?
You call that deserving while it was the purest truth that If Adamu touch and eat from the that tree he could become like God .God sent serpent to (deserve) Eve knowing Adam was weak .fail to understand that he was surrounded with trees both work controversial first the tree of knowledge and second the tree of life .If in any chance after eating from tree of known and eat from the tree of living still we could have Adam today .
 
Sawa, binadamu wa sasa tunazaana, je binadamu wa kwanza kabisa hapa ulimwenguni alitoka wapi mkuu?
Hakuna binadamu wa kwanza duniani wa binadamu wote.

Na hili linathibitika kwa uwepo wa utofauti wa DNA🧬 kwenye kila binadamu.

Tunatofautiana vinasaba, hivyo Haiwezekani tuwe tumetokana na binadamu mmoja wa kwanza.

Tunatofautiana rangi zetu, Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wahindi weupe, weusi na wekundu. Kuna wajapan, wachina, waarabu, wafilipino, wakorea n.k

Wote hawa ni binadamu wenye utofauti wa rangi. Kwa hiyo haiwezekani tuwe tumetokana na binadamu mmoja wa kwanza.

Kama kweli binadamu wote ulimwenguni tungekuwa tumetokana na binadamu mmoja wa kwanza, Basi binadamu wote ulimwenguni tungefanana kwenye vinasaba na rangi zetu.
 
MJADALA HUO UMEISHA. NJONI HUKUπŸ‘‡
 
Mwamba tupo na theolojia Kwanza .sayansi weka pembeni .Hesabu 22-27-30 Punda wa Balaam anaongea .
Unataka Twende Kitheology ok sio mbaya..

Sasa Nikuulize maswli kadhaa Kuhusu Hiyo Hadithi..

Kulikuwa na Ulazima Gani Mungu kumtuma Malaika awe anajitega Njiani muda wote kila balaam akimgeuza Punda?
Maana Alimpiga punda akatoka njiani wakapita njia nyingine ila Bado kule bondeni akamweka tena yule malaika walipokuwa njia kuu akamweka tena yule malaika ili Punda amwogope asiende.. halafu baadaye Malaika anamdhihaki kwa Kumuuliza mbona Umempiga Punda mara tatu wakati Punda kupigwa yeye ndyo chanzo?

Kama Lengo Lilikuwa ni Kumstopisha balaam asiende kwanini Kumtesa Punda? Na wakati angeweza Kujitokeza tu na Kumzuia Balaam kama Alivyofanya na Ingewezekana?

Kama Balaam Alienda Na Akafanya Kile alichoamrishwa na Mungu niambie Kosa La Balaam ni Lipi kulingana na Aya Hizi kwenye Biblia Yuda 1:11 na 2 Petro 2:15,

Haya Twende Theologically Sasa
 
Akujibu nini wakati majibu unayo tayari kutoka kwenye kitabu chako na siyo kwenye biblia?
 
MUNGU hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Biblia ni HEKAYA za kale, za kutungwa na kusadikika zilizo andikwa na wajanja wachache na kurithishwa vizazi kwa vizazi kupotosha na kudanganya watu.

Hakuna neno wala maneno ya Mungu.

Kuna maandishi ya wanadamu yaliyopo kwenye vitabu wanayodai ni ya Mungu, Kumbe ni UONGO.

Hakuna MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…