Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

DNA inabadilika kulingana na Mazingira na Sababu nyingi na kupelekea kuzalisha offspring ambayo ni tofauti na ancestors.
Mazingira yanabadilisha vipi DNA?

Kwamba wewe ukiwa mwafrika mweusi na mke wako ni mwafrika mweusi vilevile, Mkienda ulaya mtazaa mzungu?
Swala la DNA ni haliwezi kulinda point yako. Inawezekana kabisa mtu mmoja akazaa albino, mtu huyohuyo akadhaa mweusi na watoto wake huwenda wakazaa Wazungu.
Mkizaana wote weusi kwa wakati wote haiwezekani atokee mzungu from nowhere kwenye ukoo na vinasaba vyenu.

Labda mmoja wenu akazae na mzungu ndio itatokea hivyo.

Unless otherwise, haiwezekani.
 
Shetani si kiumbe bali sifa, shetani yule alikua ibilisi ambaye kiumbile ni jini,na hata leo,umbo la nyoka ndiyo majini hupendelea kujibadilisha wajapo kwa binaadam,ukiacha njiwa,majini kama malaika,yaliumbwa kabla ya binadam
Kwahiyo shetani ni sifa/jini? Waliumbwa na Mungu?
 
Mwamba tiririka Tu tunakusoma .tuambie wazungu wametoka wapi๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Somo refu kidogo.
Kifupi wazungu ni uzao wa majitu,walitokea baada ya malaika kuzaa na wanadamu yakazaliwa majitu so wao ni evolution ya majitu,si unaona akili zao zilivyo race
 
Naaminisha Kwa title ya kitabu .dhana ya fiction tuondoe kabisa .biblia NI sacred book/text.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Sawa Ila Kasome Jinsi ilivyopatikana na Jinsi walivyoweka baadhi ya vitabu na Kuodoa..
Unaweza Ukasoma Kupitia Church Father Katika kitabu chake Ecclesiastical History kwa Jina anaitwa Bishop Eusebius of Caesarea Mababa wa Kwanza kabisa wa Dini hao..

Hapo hata kabla ya Uislamu
 
Kwahiyo shetani ni sifa/jini? Waliumbwa na Mungu?
Shetani ni sifa ambayo hata wewe unaweza kuivaa,ukimshawishi mtu kufanya uovu,kuiba,dhulumu,ua,unakua shetani, shetani si kiumbe maalum,aliyemrubuni Adam na mkewe alikua ibilisi,ni miongoni mwa majini.. viumbe vyote viliumbwa na Mungu
 
Shetani ni malaika muasi....
Shetani alipata wapi uwezo wa kuwa muasi?
Mungu hakuumba 'kiumbe' kinachoitwa shetani
Mungu mnayedai kwamba ni mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba Shetani atakuja kumuasi amdhibiti na kumzuia mapema asiweze kumuasi?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
 
Rudi shule Kasome kwanza mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ