Hapo mkuu Mungu hafaidiki chochote na watu kumwamini.Huyo Mungu asipoaminiwa, anapungukiwa nini?
Huyo Mungu akiaminiwa, anafaidika nini?
Huyo Mungu hajiamini kabisa hadi anahitaji kuaminiwa?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Acha iyo, Unajua Musa alikuwa na kigugumizi,Mungu mwenyewe alimwambia Musa"Usiogope',Wewe utakuwa kipaza sauti changu(MUNGU)na bibilia iliandikwa kwa mfumo huo,bisha!Hayo maswali ukiwauliza wafia dini humu wanaanza kukulaani, ukweli ni kwamba upeo wao ni mdogo wanapelekwa km nyumbu..!!
Sawa mkuu hebu tupe nondo kwamba bibiilia ilitakiwa iandikwe kwenye mazingira gani ili kikidhi vigezo vya kuwa neno la Mungu?Ukiamini Kitu bila kukijua vizuri si kitu kinazhoweza kukuweka kwenye mazingira ya Uhalali wa Hicho kitu..
Mifano yote uliyotoa Haiendani na Tunachokielezea..
Vitu vilivyomo ndani ya Biblia si vitu vinavyoonekana ni viti vinavyohitaji imani zaidi kuliko Kuviobserve Imani yoyote..
Huwa ni lazima ichunguzwe kabla ya Kuaminiwa..
Unahisi Kwanini Wewe Hujawa Mbudha au Hujawa Mhindu?
Soma uelewe ndo maana Historia Ya Kanisa Churches History hufundishwa kabla ya Kujua vipi tulifika hapa lengo ni kuweka Misingi imara ya Imani..
Imani isiyokuwa na Tumaini ni imani iliyokufa sijui kama Umenielewa Faith without hope ni Tupu..
Na Hope inakuja Kwa Kujua Ulipotoka ulipo na Unakokwenda
Kama huyo Mungu hafaidiki chochote akiaminiwa, Sasa wewe unachohangaika hapa kumuelezea na kumtetea huyo Mungu ili watu wamwamini ni nini?Hapo mkuu Mungu hafaidiki chochote na watu kumwamini.
Nisawasaw na mtu kukazana kuwaasa vijana wastumie madawa ya kulevya, ilihali yeye ni mtu smart tena amefanikiwa sana na wala hafaidiki lolote ikiwa hao vijana wakitoboa.
Inamaana unaijua sayansi kuliko hii miamba?.Sayansi haina mdomo wa kusema wala kuongea.
Kuna mawazo na maoni ya wanasayansi ambao ni binadamu kama wewe. Ambao na wao wana imani zao kama wewe.
Ndio maana kuna wanasayansi ni Atheists na wengine ni Theists.
Suala la MUNGU sio la kisayansi, Bali ni la kiimani na kidini.
Ninyi waamini huyo Mungu ndio mnapaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Sayansi haiwezi kuthibitisha kitu ambacho haijakianzisha.
Kwenye Sayansi hakuna Mungu.
Suala zima la dini ni utapeli.Matapeli wamevamia Dini - tuwe makini.
🤣🤣 Muslim Pure wale wana Nyuka Quran Si mchezo, Ukija kwenye Biblia Utajuta , Njoo kwenye Budha na Hindu wamekomaa Bhagavad Gita , Na Uyahudi na Torah zote wanZichapaKwa maana hiyo kwa sasa na wao ni kama baba yao, hawana dini??
Mimi nimewahi Kukutana na wewe Kwenye Mjadala upi?Kwani huyo DR Mambo Jambo ni muislamu 😁😁😁😁 huyo logic yake ni very lower tuliwai kukumbana kwenye uzi ....maswali yake yanaonyesha low iq aliyo nayo.
Alisema anaenda kumpokea Yesu airport na gari lake.Mngese yule mtu alichukua mke wa rafiki yangu aliyekuwa miongoni mwa walinzi wake.
Kenge sana.
Ni vizuri aisee, ukiwa huru ni raha sana.🤣🤣 Muslim Pure wale wana Nyuka Quran Si mchezo, Ukija kwenye Biblia Utajuta , Njoo kwenye Budha na Hindu wamekomaa Bhagavad Gita , Na Uyahudi na Torah zote wanZichapa
Hayo maneno ya bikira 72 ni maneno ya uzushi,ila kuwepo wanawake twahara, bikira peponi hayo yapo kwenye QuranKwahiyo Muddy yale maneno aliyatoa wapi?
Richard Dawkins na yeye ana imani na mtazamo wake.Inamaana unaijua sayansi kuliko hii miamba?.
Richard Dawkins kwenye kitabu cha The God Delusion anasema hakuna ushahidi kama MUNGU yupo.
Hata Stephen Hawking ni mwanasayansi mkubwa na alikiri hakuna Mungu directly.Thomas Nagel kwenye kitabu cha mind and cosmos anasema ushahidi wa uwepo wa MUNGU haujitoshelezi.
Mkuu sikia, uwepo wa imani unatambulika na wenye akili kubwa duniani na wanasayansi, jambo ambalo linawafanya waseme hakuna ushahidi kuwa yupo MUNGU ni origin ya concept ya uwepo wa MUNGU au uumbaji wake(Japo kiimani hajaumbwa)
Wakati Science imejikita kwenye utafiti, uchunguzi na ushahidi kutafsiri uwepo, uwepo wa MUNGU umejikita kwenye imani. Hii ndo sababu wanasayansi wanasema hakuna ushahidi kuwa kuna MUNGU.
Ingia kwenye hii site biologos.org inaelezea jinsi science na imani zinavyoingiliana.
KWA UFUPI, WANASAYANSI WENGI HAWAJAHITIMISHA KWAMBA HAKUNA MUNGU, ILA WANASEMA HAKUNA USHAHIDI KWAMBA YUPO.
MUNGU ANAEXIST KWENYE ULIMWENGU WA IMANI SIYO WA KISAYANSI, UKITAKA UTHIBITISHO KUWA YUPO ITAFUTE IMANI. HII NI AKILI YA KAWAIDA TU HAIITAJI ELIMU KUBWA.
KATIKA MASWALI AMBAYO HUWA NI YA KIJINGA NI KUTAKA KUTHIBITISHIWA KUWA MUNGU YUPO NJE YA IMANI.
Hapa JF...wewe kichwa chako kitskuwa cha kuku kama umesahau nikukumbusheMimi nimewahi Kukutana na wewe Kwenye Mjadala upi?
Logic gani tulibishana?
Wahy/revelationKwahiyo Muddy yale maneno aliyatoa wapi?
Wanasayansi waliosema hakuna MUNGU wote walirudi kwenye kutokuwa na ushahidi kuwa yupo na si ushahidi kwamba hayupo.Richard Dawkins na yeye ana imani na mtazamo wake.
Mawazo na mtazamo wa huyo Richard Dawkins sio mawazo ya sayansi yote kwa ujumla.
Kila mwanasayansi ana mtazamo wake kuhusu huyo Mungu.
Maoni na mtazamo ya mwanasayansi mmoja sio kanuni ya sayansi nzima kwa ujumla.
Hata Stephen Hawking ni mwanasayansi mkubwa na alikiri hakuna Mungu directly.
Bila konakona na maneno mengi.
Imani inaweza kuwa hata ya uongo.
Unaweza kuamini hata uongo.
Sasa, tuta hakikisha vipi hiyo imani yako kuhusu uwepo wa huyo Mungu ni ukweli na si uongo?
Yani mm nitie huluma kwa dangaAcha kutia huruma jibu swali, Muddy maneno ya kusema peponi wanaume watapewa mabikra 72 na mapipa ya pombe aliyatoa wapi?
Kwahiyo Muddy ni danga au wewe ni danga??Yani mm nitie huluma kwa danga
Sio mzima ww.
Lete hiyo ayaKwahiyo Muddy ni danga au wewe ni danga??
Sasa hayo mapipa ya pombe mpishi nani?
Kwahiyo wewe humuamini mtume Muddy? Kumbe yale maneno yake ni ya kizushi? Sasa mbona masheikh wanaendelea kuyatumia kwenye mawaidha misikitini??Hayo maneno ya bikira 72 ni maneno ya uzushi,ila kuwepo wanawake twahara, bikira peponi hayo yapo kwenye Quran