Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Mwamba nyoka anayetajwa sio nyoka yaani nyoka Kama unavyojya wewe neno lilitumika NI serpent (kifasihi zaidi) na sio snake .biblia inasema nyoka alikuwa ana hekima kuliko wanyama wote aliowaumba Bwana Mungu .maana Ake n kwamba Nyoka alikuwa agent wa maarifa.amabaye alitumea na Mungu kumjaribu Adam suala la kuongea Kwa nyoka sio tatizo kiasi ujiulize hivi wanyama uwa wanaongea ? Kuna punda aliongea ndani ya biblia .Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.
View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.
Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Nawasilisha.
Nina mashaka makubwa huu ukweli hawa wachungaji wa kubwa na manabii wanaujua ,ndio maana huwa wanachukua Chao mapema , ngoja kwanza wakaguse pindo la nabii suguye tusiwasanue shibelaTukiwaambiaga humu kila siku kwamba Biblia na Quran ni hekaya za kusadikika tu, huwa mnabisha sana.
Polepole mtaelewa tu, Biblia na Quran ni hekaya za kutungwa tu kama zilivyo hekaya za Abunuwasi, Esopo, kalume kenge na Alfu lela ulela.
Mbingu haipo.
Jehanam haipo.
Mungu hayupo.
Shetani hayupo.
Wake up emancipate yourself from mental slavery.
Hakuna Mungu mwenye maneno.Atheist wamepata hoja toka kwa nabii mkuu. Yule ni mpuuzi fulani anayejua kucheza na akili za nyumbu. Sasa akisema biblia ni maneno ya watu atuambie maneno ya Mungu ni yapi?
Hoja au vijihoja?Hakuna kufutwa uzi , acha watu watolewe gizani hili suala Lina hoja na dalili za wazi
Umetumia neno Mungu mara kadhaa, sijajua unamzungumzia Mungu yupi? Maana miungu wapo wengiDuh, Ujinga ni mama wa Dhambi.
Nani hajui bibilia ni muunganiko wa vitabu vilivyoandikwa kutoka maeneo mbali mbali vikaunganishwa pamoja?
Nani hajui mengine yalikuwa ni ya kusimuliwa, lakini historians and archeologist wame trace na wamekuta vipo kweli?
Nani hajui Rome ndio patron wa kuhifadhi kumbu kumbu zote za Biblia.
Nan hajui kwamba sio mambo yote yanapaswa kufundishwa mwanadamu?
Kwamba vitabu vyote vikusanywe watu wafundishwe kungekuwa na upotoshwaji mwingi sana..
Nani anabisha kwamba Biblia ni kwa ajili ya wanaotaka kuamini?
Kama huamini ni sawa na tutaendelea kukuombea.
Kwa wale wanaoamini jiepisheni na manabii wa Uwongo..
Si sawa kumsema vibaya mpakwa mafuta wa Mungu lakini kwa hili nadhani hajasema ukweli wote.
Kuamini ni uamuzi wako na ni juu ya Roho wa Mungu kukujalia neema hiyo.
Watu wanatoka jasho kabisa kupinga mambo yaliyo bayana.
Huyo Pasta anaongea lakini deep down anaelewa anachokisema na Nin neno la Mungu analotumia kuwakusanya watu hapo kwake..
Tujielimishe.., lakini kuamini ni juu ya mtu binafsi.
Biblia ni ujanja ujanja tu tutajie andiko lolote ndani ya hiyo biblia inayotambua kuwa kuna kitabu kinaitwa BibliaSawa...
Amesema, kuna kipindi Roman Empire iliificha Biblia (ni kweli tena wengine waliuawa).
Swali langu kwako mleta mada ni kwanini Roma iliificha Biblia?
Unamskia anasema ukioneshwa "mistari original", reference yake ni ipi?
Nina maswali mengi ya kukuliza tafadhali uanze kunijibu hilo kwanza...
Wachungaji wanaujua ukweli, Lakini hawataki kuwaamsha nyumbu waliolala.Nina mashaka makubwa huu ukweli hawa wachungaji wa kubwa na manabii wanaujua ,ndio maana huwa wanachukua Chao mapema , ngoja kwanza wakaguse pindo la nabii suguye tusiwasanue shibela
Na kwel ukimwamsha alie lala utalala weweWachungaji wanaujua ukweli, Lakini hawataki kuwaamsha nyumbu waliolala.
Maana wanajua hapo ndio kula yao ilipo.
When all people shall be full aware of divine terms, Those false prophets and bogus religious preachers who feed on the ignorance of multitude will go hungry.
Ngoja manyumbu yakamuliwe sadaka na zaka kwanza.Na kwel ukimwamsha alie lala utalala wewe
Kwanini uzi ufutwe tulia upigwe spanaMjadala ufungwe au uzi ufutwe kama kuna upotoshaji wa neno la Mungu
Anachowafundisha Hasa Ni Msingi wa Imani.kama hajadanganya hao wafuasi wake anawafundisha Nini? msingi wa mafundidho yake ni nini? hiyo iliyofichwa inaendelea kufichwa Hadi Leo? huyo ni tapeli kama hao wanauza makanisa na misikiti.
Biblia ni kitabu cha uongo, kama unabisha tuletee andiko linalotambua kuna kitabu kinaitwa BibliaAnaamua kuipotosha BIBLIA baada ya uongo wake kufunuliwa. Kaona mbele atakimbiwa na waumini anaamua kwa makusudi kuwaua kiimani wafe kiroho. Hii ndiyo athari ya kukimbilia kwa mitume na manabii feki. Hao nyumbu wana bahati sana kusalimika hapo vinginevyo wakitiwa moto na kufukiwa kama kwa kibwetere na mackenzie. Hawa manabii feki ukiwashitukia janjajanja yao wakiona dili zao zinaenda kufeli huamua kuwakosesha washirika wao wafe kiroho
Kwanza huyo Mungu hayupo.Mjadala ufungwe au uzi ufutwe kama kuna upotoshaji wa neno la Mungu
Huyo Mungu alikuwa wapi hadi Shetani akaweza kumdanganya Eva?Shetani ndiye aliyemdanganya huyo Eva kwa kumtumia nyoka...
..kale kanyoka kalikomdanganya EVA na ADAM mbona hakakupewqa adhabu yoyote, huku duniani kamezidi kutesa na kuuwa wasio na hatia. Au nyoka siyo literally snake ni fumbo linalomhusu ibilisi?, so biblia imekuwa ni ngumu kwa mtu wa kawaida kuielewa mpaka itafusriwe na wajanja, na tumekuwa wahanga wa wajanja wachache wanatafusiri kwa maslahi yao, na vitisho ni vingi zaidi.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.
View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.
Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Nawasilisha.
Kama huna akili unamruhusu mke wako ambae hajapitia hata mgambo aende kuwa mlinzi wa Geo dervie kwanini asiliwe sasa? Lazima aliweMngese yule mtu alichukua mke wa rafiki yangu aliyekuwa miongoni mwa walinzi wake.
Kenge sana.
Christianity is a business, Jesus is the product, Church members are the customers, Religious leaders are the beneficiaries.
Kwanza katika uumbaji hakuna mahali uumbaji wa shetani umetajwa. Hivi shetani aliumbwa na nani huyo mwenye mamlaka makubwa zaidi ya Mungu? Au kuna Mungu mwingine aliyemuumba shetani?Huyo Mungu alikuwa wapi hadi Shetani akaweza kumdanganya Eva?
Huyo Mungu kwa nini aliruhusu shetani aingie bustanini, kumdanganya Eva?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?