ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
Sidhani kama Umeweka Mjadala Uwe rahisi zaidi ila umezidi kuufanya Uwe mgumu zaidi kwako ππMwamba nyoka anayetajwa sio nyoka yaani nyoka Kama unavyojya wewe neno lilitumika NI serpent (kifasihi zaidi) na sio snake .biblia inasema nyoka alikuwa ana hekima kuliko wanyama wote aliowaumba Bwana Mungu .maana Ake n kwamba Nyoka alikuwa agent wa maarifa.amabaye alitumea na Mungu kumjaribu Adam suala la kuongea Kwa nyoka sio tatizo kiasi ujiulize hivi wanyama uwa wanaongea ? Kuna punda aliongea ndani ya biblia .
So Alikimbilia Nchi ya Nodi ambayo alienda Kuoa Huko Hiyo nchi ilitoka wapi?Kuoa Kwa Cain .Mwamba biblia yote unayoiona haina utaratibu wa kurecord kuzaliwa Kwa wanawake yaani inshort biblia NI mfume dume .Cain alioa dadaake ..Hawa akizaa mtoto wa kike .Biblia haisemi.
hapo ndo umetoa Hoja ya Kupingana na Yeye kuwa kama Ni binadamu akaandike ya Kwake??Napingana na nabii mkuu kwamba biblia NI maneno ya wanadam Kwa hoja .Kama ni kweli na yeye akaandike ya kwake .
Hadithi za uumbaji ni porojo tu.Kwanza katika uumbaji hakuna mahali uumbaji wa shetani umetajwa. Hivi shetani aliumbwa nani huyo mwenye mamlaka makubwa zaidi ya Mungu? Au kuna Mungu mwingine aliyemuumba shetani?
Unaweza kuthibitisha hili au ni story za vijiweni na akina Mazinge?Ni kweli Kuna vitabu katika Injili vimetolewa vilevile ukirejea vikao vya Nicaea mtawala wa Roman alivyokutana na viongozi wa kikiristo katika kusuka mambo.
π€π³Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.
View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.
Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Nawasilisha.
Safari ya kujitambua nafikiri ni ya wachache mkuuπ€Sidhani kama Umeweka Mjadala Uwe rahisi zaidi ila umezidi kuufanya Uwe mgumu zaidi kwako ππ
Sijui hata Unajua kama Unachokiongea
Unajua Serpent its more likely legend Story and not authentics Ones..
Bora tujibu Mengine Tukienda kwenye Hizo legends story Mimi Mtanitukana Kuliko Hata Huyo Geodav..
Maana Hakuna Uthibitisho wa Kisayansi wala wa Kimazingira wala Wakianatomic Kuwa Mnyama Aliwahi Kuongea au Nyoka aliwahi Kuongea..
Kwa sababu hakuna Trace ya Larynx kwa nyoka hata kwa bahati mbaya..
turudi huku
So Alikimbilia Nchi ya Nodi ambayo alienda Kuoa Huko Hiyo nchi ilitoka wapi?
Na Nikuongeze Bonus Kama Mungu alimuwekea Cain Alama asiweze Kufa Nikuulize kaini anaishi wapi kweli?
hapo ndo umetoa Hoja ya Kupingana na Yeye kuwa kama Ni binadamu akaandike ya Kwake??
Tuna safari ndefu
CC:- min -me
Tuthibitishie wewe kwanza biblia imeandikwa na nan?Unaweza kuthibitisha hili au ni story za vijiweni na akina Mazinge?
Nicene council haikugusa biblia shughulisha ubongo
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.MUNGU WANGU.
Watu wengi sana hawamjui MUNGU,hawamjui ni nani,hawajui dhana ya MUNGU.Mungu sio mtu anaongea na kusikia.
Mungu sio binadamu,isipokuwa kinyume chake BINADAMU NA WATU wanataswira ya MUNGU(Ndani yao).
Kuna wachache wadadisi watagundua tofauti na usawa uliopo kati ya BINADAMU NA WATU. Ndio sijakosea Kuna binadamu na watu elewa hilo.
Kwa nini Maneno ya MUNGU na ikiwa hawezi kuongea wala kusikia,ndio haongei wala hasikii,ila ana Maneno,kwa hivyo Kuna NENO LA MUNGU.NA NENO LA MUNGU SI BIBLIA PEKEE,NENO LA MUNGU LIKO KWENYE FORMS NYINGI SANA NA TARATIBU NA HATA TAMADUNI NYINGI SANA. Itoshe kusema neno la MUNGU kwa njia ya biblia au quran,ndio njia zilizofanikiwa sana kupata promo kubwa kuliko neno la MUNGU la aina yeyote. Na Mungu ni mmoja tu ila binadamu na Watu wanazo njia tofauti sana za kumfikia(Different methods to access the Almighty God=THE SOURCE OF ALL,THE ALL,ALL.THE MOST HIGH,THE ENERGY,ALLAH,YEHOVAH,LE MULUNGU,MUNGU,KRISHNA,BUDDHA).
Sasa Mungu anayo Maneno au NENO lake kwa wanadamu na watu,kwa njia ya vinywa na ufahamu wa wanadamu na watu(Viumbe wake wote,wanaonekana na wasio onekana.) Mnajua nini dini ni mpango wa maisha,mpangilio unaosaidia kuchunga mifugo malishoni wasitawanyike.Dini zote ni nzuri sana,ila Kuna WATU wanahila mbaya dhidi ya Watu na wanadamu.(Zingatia watu na wanadamu).NENO LA MUNGU NA LIMESIMAMA HAKUNA WA KULIANGUSHA ISIPOKUWA WATU NDIO WANAOANGUKA.
Kasome Historia Mkuu Kasome Utawala wote wa romanHoja au vijihoja?
Wapi ushahidi sahihi kuwa Roma walificha Biblia halisi kwa miaka 600?
Hapana Watu wanajiendekeza tu ππ..Safari ya kujitambua nafikiri ni ya wachache mkuuπ€
Mungu yupi?Kasema neno la Mungu ni lipi?
Rafiki yangu alikuwa mlinzi wa huyo tapeli kisha mkewe naye alikuwa anasali hapo mwisho wa siku jamaa akapita naye.Kama huna akili unamruhusu mke wako ambae hajapitia hata mgambo aende kuwa mlinzi wa Geo dervie kwanini asiliwe sasa? Lazima aliwe
Nipe Ajenda za Kikao cha nicea..Unaweza kuthibitisha hili au ni story za vijiweni na akina Mazinge?
Nicene council haikugusa biblia shughulisha ubongo
Acha kukurupuka,tulia na usome vizuri.Kama huna akili unamruhusu mke wako ambae hajapitia hata mgambo aende kuwa mlinzi wa Geo dervie kwanini asiliwe sasa? Lazima aliwe
Mi maisha yakinipiga sana nafungua kanisa
Acha wachungaji wale kondoo na wajipakulie minyama na vinono vya manyumbu yasiyo jitambua.Rafiki yangu alikuwa mlinzi wa huyo tapeli kisha mkewe naye alikuwa anasali hapo mwisho wa siku jamaa akapita naye.
Hivi mwamedi alipokuwa akisema "Watu waliopewa Kitabu" au watu wa kitabu alikuwa akirefer kitabu kipi?Biblia ni ujanja ujanja tu tutajie andiko lolote ndani ya hiyo biblia inayotambua kuwa kuna kitabu kinaitwa Biblia
Mbona baalamu alisemeshwa na farasi alipokwenda kuwaalani waisraeli kwa amri ya mfalme wa moabu balaki?πHapana Watu wanajiendekeza tu ππ..
Hivi unawezaje kumwambia Mtu mzima kuwa Nimeona Ngombe ananisemesha au Mbuzi anaongea au Kondoo kanitukana akakubalia?