Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ni vema.Bila watu kuachwa watoe sumu vifuani tutakuwa tunalaumiana kila siku na wapendwa wa Jiwe kwamba tunamsimanga marehemu.Tuunde tume ya haki na maridhiano kama zile za South Africa na Rwanda ipite nchi nzima watu watoe machungu yao kisha wasamehe taifa liende mbele.
Hawajajifunza au hawapendi kujifunza kutoka kwa "mkufunzi" wao aliyeenda zake.Ndio hawa hawa leo wanamtendea Mbowe unyama.
Labda wapite kwenye familia za mafisadi waseme jinsi walivyoumizwa kwa kulazimishwa kulipa kodi waliokuwa wanakwepa.Tuunde tume ya haki na maridhiano kama zile za South Africa na Rwanda ipite nchi nzima watu watoe machungu yao kisha wasamehe taifa liende mbele.
Wekeni video
Mtafunga wangapi? Ukombozi umekaribia.Aliepo ikulu ni mtoto wa shetani!!Kauli kubwa sana hii!Kamanda Siro uko wapi?Nyumba inaungua hii!!
Mfuasi wa shetani kama wewe ni shetani piaShetani ni yoyote aliekuwa anakwepa kodi,alietumia cheti feki,aliekumbatia wafanyakazi hewa na wale wote wanao isaliti nchiyao wenyewe.
Wewe hutaondolewa, namuomba Mungu akutupe.Ukiwa CCM automatic wewe ni shetani.
Lakini Magufuli alikuwa shetani mbwa, asante Mungu kuondoa ule uchafu
Sirro naye ni shetani tu. Anakubalije jeshi la polisi kutumika kisiasa kama yeye si sheteani?Aliepo ikulu ni mtoto wa shetani!!Kauli kubwa sana hii!Kamanda Siro uko wapi?Nyumba inaungua hii!!
KimeumanaKimenuka !
imefutwa mitandaoni mote , tunaendelea kuisaka huku na kuleTupia ka clip mkuu.