Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA

"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa

Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.

"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.

Itakupasa uwe na akri mgando na utindio wa ubongo na kutokujielewa Kwa 100%ili uwakubali na kuwa elewa Hawa.

Unakubalina naye?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2832211
Kuna tapeli anaitwa Nyakia, kwa waliosoma Mzumbe University 2005-2008 watakuwa wanamkumbuka tapeli huyu
 
Nilitoa kisa mwaka flani tulimpeleka dada yetu Kwa huyu jamaa ndo nikagundua ni tapeli sema kwamba Mimi nilikuwa nimegoma ila shinikizo la ndg ikatulazimu twende akaombewe asee ni utaperi mtupu Wala hakupona

ndugu yako hakuwa na imani, na nyie mliyempeleka hamkuwa na imani pia ndio maana hakupona.
 
Kama na Mungu anasimu sawa mkuu sikatai [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukishaamini Mungu yupo, simu kitu gani bwana Mungu amekuwa mpaka na quantum instantaneous communication?

Sasa utashangaa vipi simu tu?

Kwani unataka kusema huyo Mungu kazidiwa teknolojia na TTCL?
 
MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA

"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa

Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.

"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi inaujinga mwingi sana aiseeeee...... nacha kushangaza, wajinga nao hawaishi.....
Halafu Ni well-off individuals..
Nachelea kuamini haya makanisa Ni vichaka tu vya makundi makubwa makubwa ya watakatishaji fedha haramu...
Mafisadi... Wauzaji.. wachawi... Wauza sembe... Machangudoa woootee wanajificha humoo
 
Na bado utasikia Kuna mtu anasali hapo
Nabii mwenyew [emoji23][emoji23]
FB_IMG_1701615159798.jpg
 
Hii nchi inaujinga mwingi sana aiseeeee...... nacha kushangaza, wajinga nao hawaishi.....
Uhuru umezidi kupita kiasi,ngoja na mimi niende chato nikamfufuwe Mwendazake ili aje apunguze huu Uhuru uliozidi kupita kiasi,alafu baada hapo arudi zake kaburini!!
 
Back
Top Bottom