Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

Ila watu wa hapo nairobi wanasema ni ukweliπŸ˜†πŸ˜† et kuna wanajeshu wa bongo wapo hapo wanaranda randa. Huenda tunataka kulipiza kuhusu mahindi🀣🀣🀣🀣

Itakua maana kunamchambuzi nmemuona Tbc leo anasema hii ni vita ya kiuchumi unaweza kuta ndo tushatuma majeshi tayari kwa vita hiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakenya mmeleletewa mtuhumiwa wenu....alipora ng'ombe wenu...alichoma vifaranga wenu....aliwaletea mahindi yenye sumu. Wakati wa kumalizana naye ni sasa. Ingizeni majasusi wenu wamchome sindano ya sumu...tumzike.
Mimi ni Mtanzania
 
Vipi kuhusu huu unabii wa huyu mwamba kwenye hii thread?
 
Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana sijui kwa nini watu wanashabiki mabaya yawakute wenzao inasikitisha kwa kweli

Ubinadamu umetutoka kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…