Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,059
Ukiona hivyo jua anaeshabikiwa mabaya yamkute nae huwatendea wenzake mabaya .Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana sijui kwa nini watu wanashabiki mabaya yawakute wenzao inasikitisha kwa kweli
Ubinadamu umetutoka kabisa
Ni chuki gani iliyokuwepo kati ya chadema na CCM mwaka 1992?Mtu wa chadema kuwa na chuki na mtu wa ccm ipo tangu kuanzishwa kwa vyama vingi
Nairobi Hospital
jiulize kwanini iwe katika awamu hii ya tano tu, mbona awamu zilizotangulia hakukuwa na hii tabia? Mliambiwa mwanzo kuwa mbegu ya chuki mnayopanda ikota itakuwa vigumu kuing'oa mkashupaza shingo. wakina msiba na kihongosi walipokuwa wanasema kuwa kina mbowe na zitto wauawe kisa tu wana mawazo tofauti na jiwe mlikuwa mnawashangilia.Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana sijui kwa nini watu wanashabiki mabaya yawakute wenzao inasikitisha kwa kweli
Ubinadamu umetutoka kabisa