Nachukia sana masikini

Masikini endeleeni kunijadili napenda sana comment zenu sababu munalialia na umasikini wenu Mimi naenda kula Bata na watoto wakali mda huu tukutane kesho🤣🤣🤣🤣
 
Ile we jamaa nae, kila mtu humu unamwambia tafuta hela as if unajua vipato vyetu, enewei unakuwa kama mama Mshangazi anatuita wanaume wote humu eti ni vivulana vya JeieFu 😂😂😂😂😂
 
White party ilikuwaga 🔥🔥🔥
Ila Sasa hivi watu wanaogopana, kumekuwa na sanaa na wasanii wengi sana JF ?
 
Usiniandikie gazeti la kulialia Mimi tafuta hela nitakulamba risasi ukirudia tena kuandika gazeti
we akil zako hazna akili
inabd upelekwe vtuo vya watu wenye utanda au wendawazm mana huna akil sawasaw
 
Alienipa wewe unamjua
jaman huyo n mwendawazmu jaman msibishane nae
hana akili nzuri familia yake nazan imemtenga maana kwa staili hyo szan kama ndugu wa kumuelekeza
na naiman hana wazaz. huyo
 
acheni dharau na vipesa vya keep chanj

Siyo dharau bro, usipokuwa mkweli unapoishi na watu, unapolea watoto wako na hata kwako wewe mwenyewe binafsi ni majanga. Tukubali tu ukweli, licha ya kuwa unauma. Umasikini wetu kwa kiwango kikubwa ni kwa sababu yetu sisi wenyewe.
 
jisemee kwa nafasi yako
 
kwaio na wew wazo lako lp mbona huelewek
mwenzio kafunguka wewe je vp mbona unalimbwasa huelewek
 
Hapana utamkuta anaulizia namna ya ku upload vyeti ajira portal.
 
nimesikia faraja sana kua thread moja na tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…