Nachukia sana masikini

Nachukia sana masikini

Huyo kijana anaota, goja amalize kujikokolea kwenye njozi yake.. ataukimbia Uzi wake πŸ˜…πŸ˜…
Halafu hana adabu mshenzi huyuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Unamueleza ukweli anakwambia eti "tafuta hela".
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi JF hakunaga party ya kukutanisha members wa JF!?
Maana niliwahi skia sijui kuna white party.
 
Tafuta hela hizi kelele zote zitakua hazikuumi
 
Katika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini tafuteni hela msikae kae tu kizembe kizembe umasikini ni laana

Sisi kitu kinachotugharimu ni uvivu. Kukosa plan na commitment katika maisha ni changamoto kubwa sana kwa watu wanaoishi Afrika.
 
Tafuta hela full stop
Hata hii ni.
hot-cuppa.gif
 
Back
Top Bottom