Nachukizwa na wanaomuita mwanangu Zuchu

Mwambie ajitambulishe kama Zulfa, na wewe baba piga marufuku hilo jina usiishie tu hapa jf.
Hata mkweo akimuita zuchu, mwambie mkwe tafadhali sana mwanangu anaitwa Zulfa sio zuu, da zuu wala zuchu, na acha kabisa kumuita hivyo.
 
Kwa upande wa nyumbani wanafahamu sipendi hilo jina, na huwa nawaambia wakemee na kupinga jina hilo huko nje pia
 
Ukihamia ushuani tunamwita Zali πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nakushangaa sana kuchukia mwanao kuitwa jina la kichangudoa, ulitegemea nini kumpa hilo jina?
 
Nakushangaa sana kuchukia mwanao kuitwa jina la kichangudoa, ulitegemea nini kumpa hilo jina?
Nilitegemea nini kumpa jina gani? Zulfa au?

Hilo ni jina na chaguo langu, ila watu kumuita jina lingine sio sahihi na wala haina uhusiano wowote na maamuzi ya kumpa jina hilo.
 
Hayati alimuita Zuchu, "Chuchu" vipi na hapo angekuwa mwanao ingekuwaje au ungejiskiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…