Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #61
Mwanzo niliona ni kawaida tu lakini kila nikimtazama huyo zuchu mwenyewe, nazidi kukosa furaha kwani hafai kabisa kufananishwa na mtoto wanguAcha Kumind vitu vidogo vidogo baba,Ukichukia na watu wakajua kuwa Hupendi Jina litakua sana.Ukichukulia poa linapotea fasta.
from umulkheiri to Bob Manson, historia ya majina inafuata mkondo πHabari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.
Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.
Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
Sawa, kubali tu matokeo....umejitakia mwenyewe.Nilitegemea nini kumpa jina gani? Zulfa au?
Hilo ni jina na chaguo langu, ila watu kumuita jina lingine sio sahihi na wala haina uhusiano wowote na maamuzi ya kumpa jina hilo.
Umulkheiri ndyo nani huyo mkuu?from umulkheiri to Bob Manson, historia ya majina inafuata mkondo π
Et zuchiHabari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.
Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.
Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
Sawa baba Zuchu tutawakanya Hawa watu wa mtaaniHabari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.
Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.
Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
Sawa baba Zuchu tutawakanya Hawa watu wa mtaani
πππSio mtaani tu, hata humu kama wapo basi waache hiyo tabia kwa watoto wa watu.
Kumuita sio kwamba yeye ndo atavaa au atakuwa na maudhui kama aliyonayo zuchu, nafikiri wanamuita Kwa maana nzuri tu...pengne ni mzuri hvoHabari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.
Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.
Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
Huwenda wana maana ingine, lakini hili jina limebeba picha isiyo na misingi ya maadili mazuriKumuita sio kwamba yeye ndo atavaa au atakuwa na maudhui kama aliyonayo zuchu, nafikiri wanamuita Kwa maana nzuri tu...pengne ni mzuri hvo
sorry nimekosea,Umulkheiri ndyo nani huyo mkuu?
Hata nyumbani wananijua kwa Bob Manson, Ila wanafupisha tu wananiita Bob πsorry nimekosea,
jina lako halisi la meanzo ni nani kabla hili la Bob Manson ulilopata hivi majuzi? ili tuweze kueleweshana msingi wa kurithishana haya majina kama familia π
Ni kimtazamo tu wengi Huwa wanaitwa zuchu juu ya uzuri walionao,huyo sifikirii wanamuita Kwa maana tofauti inategmea pia na umri wakeHuwenda wana maana ingine, lakini hili jina limebeba picha isiyo na misingi ya maadili mazuri
Poa mama zuchuHabari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.
Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.
Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
π€£π€£Poa mama zuchu
Sasa Baba Zulfa si uwakataze, usikute limeanzishwa na mama yao, shangazi au mama zake wadogoHabari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.
Wakati mwingine nawaza kubadili jina na kutafuta jingine lakini siwezi kwani Zulfa ni jina ninalo lipenda.
Ujumbe wangu ni kwamba, sio vizuri kutunga na kuwapa majina watoto wa watu ambao wana majina yao halisi, hasa kuwapa majina ambayo hayana picha nzuri upande wa maudhui na maadili.
Umri bado ni mdogo sana, miaka 2Ni kimtazamo tu wengi Huwa wanaitwa zuchu juu ya uzuri walionao,huyo sifikirii wanamuita Kwa maana tofauti inategmea pia na umri wake
Nawakataza sana, hata nyumbani wanajitahidi kukemea na kupoteza hilo jinaSasa Baba Zulfa si uwakataze, usikute limeanzishwa na mama yao, shangazi au mama zake wadogo