Nachukizwa na wanaomuita mwanangu Zuchu

Hata nyumbani wananijua kwa Bob Manson, Ila wanafupisha tu wananiita Bob πŸ˜‚
unajua hospital ya muhimbili ilikua inaitwa Muhi Muhi zamani, jamii ya waliyo wengi wakaibadili Muhi Muhi kuwa rahisi rahisi kidogo ndio ikaitwa Muhimbili...
hata Kunduchi, ilikua inaitwa kundu, Chii...

so,
Muhi, Muhi=MuhiMbili
Kundu, Chii= KunduChi

hata mwanao just,
waliowengi wameona wambadilishie tu ili atambulike kirahisi miongoni mwao πŸ’
 
muite Zuwena
 

Pole mwaya,
Hata ningekuwa mimi hapana aisee!
Jina la kihuni?! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Vipi wakiongeza tena lisomeke Zuchu Zuchu..
 
si bora hilo...huku jamaa mtaratibu lakini anaitwa longo longo..afu fresh
 
Kama waliompa hilo jna mwanao wako humu amini kwamba ujumbe umewafikia
 
Bora zuchu watamwita zuwena akili yako itakaa sawa
 
inakera sana na mtoto asipokuwa makini anaanza kuiga life style ya uyo zuchu og.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…