Nadhani Baba levo ni njia tu ya Zitto Kabwe kuingia bungeni , Safari ya Ukombozi bado ni ndefu sana .

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,530
Reaction score
3,422
CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo .

Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana .

Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati .

#free TL
 
Hakuna wa kumshinda zitto kabwe kigoma
 
Kama CCM ikidhamiria Zitto hawezi kushinda,CCM ni waizi wa kura Baba Levo atashinda,ila kama hawajadhamiria kuchukua jimbo basi Zitto atashinda
 
CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo .

Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana .

Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati .

#free TL
Nilihisi hivyo pia
 
Back
Top Bottom