Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
The best comment in this thread.Baba Levo ameuziwa mbuzi kwenye gunia
Baba Levo anashinda saa 4 asubuhi 😄Baba Levo ameuziwa mbuzi kwenye gunia
Sawa.Baba Levo anashinda saa 4 asubuhi 😄
Hakuna wa kumshinda zitto kabwe kigomaCCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo .
Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana .
Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati .
#free TL
Mimi na mzee Mgaya tutakuwa Ujiji 🐼Sawa.
Karibuni sana. Nipo Buzebazeba.Mimi na mzee Mgaya tutakuwa Ujiji 🐼
Nilihisi hivyo piaCCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo .
Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana .
Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati .
#free TL