Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

Gaza wanaonewa miaka mingi, Gaza ni vita kati ya wayahudi na Wapalestina baada ya suluhu kushindwa na Palestina kunyamganywa ardhi yao
 
Ipo siku mtanielewa na kububujikwa sana Machozi pale mtakapokuja kujua ukweli wa yale nayowaambia juu ya Uropokaji ,ukurupukaji na Mihemuko ya Lissu
Wewe UWT huku hakukuhusu, hivi wewe chawa uliyeanza kwa uchawa na kutoa namba yako upate teuzi lakini ukaonekana chizi. Hivi kati yako na Lissu unaweza kweli ukajiona una akili?
Kweli kichaa anamuona doctor ndio mgonjwa
 
Itakuwa malaria imepanda kichwani ni janga.
Go Lissu go, walideal na Mbowe miaka 23 yeye asiye na hasira mwenye akili na maarifa na tukaona matokeo yake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
 
The way Lissu is behaving is beyond politics. Something is behind the doors. It is not about CDM chairmanship. It is about personalities.
Or more than personality, could it be crusade maybe?
 
Hivi wewe ulitoa hoja kumbe
Nakuonaga kama mtu sensible kumbe uko hivi. Sasa ya kulamba! miguu kutoka kwa mtu mwenye akili timamu kunatoka wapi? Umejibu hoja?
Wewe unajua namlamba nani miguu, acha kumsinguzia Mbowe.
 
Hebu tujaribu kumpa Ikulu tuone. Napenda sana watu wanaothubutu kama Lissu. Nchi imepinda, anatakiwa mtu wa kuinyoosha, aliponyoosha JPM, mikunjo imeanza tena, Lissu ni mtu wa pekee wa kuondoa hiyo mikunjo.
 
Nampenda, namheshimu, namwamini Lissu. Lakini 'anavyo-behave', karibu nitasema hafai kuwa kiongozi hata kata.
 
Wewe ndiye una matatizo, mpaka ulambe miguu ya Mbowe ndo ule. Unamatatizo makubwa!
 
Pumbavu
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=U1vjcZOGJZ4
Sikiliza hii, mbowe ni bora angekaa kimya au kujitoa kwenye uchaguzi madudu yote uwanjani, uwezekano wa Mbowe kushinda uchaguzi ni 0.5%
 
Sasa hivi Retired akiweka bandiko unashindwa kuelewa nini kimetokea....ni hili la kumpambania Mbowe tu....au kuna kitu kingine
Hapana, Mimi ni chadema damu na mwanasiasa niliyekuwa namopenda ni Lisu. Favorite politician for that matter. Recent developments on his side zimenikata maini na kunikatisha tamaa kabisa. Mtu mwenye akili huwezi kuua taasisi inayokupa heshima uliyonayo. VUF na vyama vingine binaanzaga na migogro hivi hivi. Sasa msomi kama Lisu asipolioma hilo akalewa sifa za mitandaoni, akamdharau aliyemfanya awe hai hadi leo, sina sababu ya ku side naye.
He is killing Chadema! Jovyo kabisa
 
Nambie kwanini umenitukana. Pumbavu inatoka wapi? Nimetukana wapi? Kosa langu ji nimi?
unanitukana baba yako, muulize mama yako kama sitimizi wajibu

Kwaheri na Christmas mbaya kwako na familia yako
 
Tatizo Wachagga wa vijijini kama wewe mnaamini Chadema ni Mali ya Mtei πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ccm ni mali ya Samia? Is that true? Mnafurahi kuwa Mbowe may be atashindwa maana sumu yenu ni Mbowe
 
Nambie kwanini umenitukana. Pumbavu inatoka wapi? Nimetukana wapi? Kosa langu ji nimi?
unanitukana baba yako, muulize mama yako kama sitimizi wajibu

Kwaheri na Christmas mbaya kwako na familia yako
Pumbavua sio tusi , angalia kamsi vizuri ,then nitakuja kukuomba msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…