Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

Sasa hapo cha ajabu nini?
Kujisaidia au kujisaidia mbele yake.
Hayo ndo mahaba
Kujisaidia sio ajabu
Il mbele ya mwenzio ndo ajabu hasa haja kubwa..ndogo sio issue

mahaba gani kusikiza harufu mbaya?

wengine u flush as soon as u poop na kupuliza air freshener kabla mwenzio hajatumia...ni ustaarabu wa kibinadamu tu

unawezaje jisaidia mbele ya mtu?.!
 
Mambo ya kawaida kabisa, nimj kama nina jambo lina haraka ninamfuata huko huko chooni na yeye hivyo hivyo nimezoea ila siyo vyoo vya kuchumaa aisee mzigo unauona unashuka
 
Itakuwa kasoma boarding school,watu waliopta kwenye hz shule hawanaga aibu mfano kugombania chakula na kutembea uchi ndani ya fence
 
Mbona mnalala KITANDA kimoja na kuchezeana nyeti zenu?
na maji mnamwagiana mbona hamuoneani aibu?
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Wewe ni mme wake, anakuchukulia Kama mwili wake, wewe ndio yeye(reflection), endapo angefanya mbele ya jamii nyingine tofauti na wewe ndo ingekuwa story
 
Huyu ni mvulana aliyeoa kabla ya wakati. Hii ni issue ya kawaida sana iwapo una master bedroom.

Mke wangu abanwe na haja kisa mimi naoga akae na uchafu tumboni!! Halafu akijisaidia Nije kumuanzishia uzi hapa eti amejisaidia mbele yangu.

Watu wa pwani ndio maana wana mila za jando nadhani ni kwa ajili ya kujifunza vitu kama hivi. Kuna mambo unamezea tu na kama haupendi mke wako afanye mbele yako si umwambie au ndio wewe unamuonea haya??

Tujifunze kuwa wanaume tunapofikia hatua ya kuwa na familia.
 
Kabisa mkuu umenena mwanamke usikubali mwanaume kuuzoea mwili wako!
 
Mke wako akitoka kujisaidia haja kubwa af akwambie umnyonye tigo utakubali??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah umefikiria nini kuandika kitu kama hichi[emoji114]
 
Khe..Mimi na mume wangu hatuna aibu, tunajamba muda wowote mtu akijisikia, hata kupuu haina shida mmoja wapo akiwepo.
Tatizo ni wewe.
 
Huchoki!
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…