Usisikilize porojo za Misukule ya Magufuli ambao wao wapo tayari kuona taifa linaangamia ili mradi tu "Legacy ya Magu" inalindwa...Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
Hii nchi mkuu imejaa wananchi wajinga sn, wewe ukipata nafasi piga pesa kaa pembeni jali familia ako. overMatrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Hapo mzigo umepigwa wa kutosha watu wana maghorofa yao Ulaya mazeeTrilioni 7 kugenerate 2115MW ni hasara....TUMEPIGWA.
Ukweli una tabia moja; hautaki kudharauliwa. Ukijaribu kupingana ukweli utakwama wewe mwenyewe. Kama na wewe unaamini kuwa hatuhitaji hydro power basi hujui maana ya hydro power.Yaani Kichuguu unatia aibu sana linapokuja suala la JPM....
Yaani PM kuagiza wataalamu kufuatilia vyanzo vya maji kwako unaona ni kumhujumu Magufuli?!
Yaani seriously, na usomi wako wote huo unaamini kuendeleza Mradi wa Gesi kunalenga kumhujumu Magufuli?
Bila shaka upo USA... unataka kusema USA wanategemea umeme wa Niagara Falls peke yake?!
Unaweza kutaja hapa ni wapi Makamba or anyone amesema Mradi wa Bwawa la Nyerere, sasa basi?
Ina maana hata wewe watu wapoteze muda kukuelimisha what's energy mix wakati am certain unafahamu?
Ingekuwa umeme wa maji ni wa kutegemewa kwa 100% kwa kiasi hicho, kwanini basi hata wakati wa Magufuli tuliyeambiwa amewatia adabu waliokuwa wanaziba maji lakini bado umeme wa maji ulikuwa ONLY 36% huku umeme wa gesi kwenye gridi ya taifa ukiwa 57%?
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Mtoa Mada unafahamu kuwa Mto RUVU na RUFIJI ni tofauti ?Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Mwangalieni huyu...Mto Ruvu hauna uhusiano wo wote na mto Rufiji. Mto Rufiji ndiyo mto mkubwa na mrefu kuliko mito yote nchini Tanzania na hata siku moja haujawahi kupungukiwa maji. Pale kwenye Stigler's gaudge ya mto huu ndipo tunajenga JNHPP. Great Ruaha ni moja ya tributaries zake kubwa. Mto huu haupitii DSM bali Mafia mkoani pwani maili tatribani 200 kusini ya DSM.
Kwani Magufuli alikuwa na akili kuchoma pesa kwa kutia hasara kwa kile achotaka yeye maadamu aone wajinga wengi wanamkubali kwake halikuwa tatizoWabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Kwa kutumia gas hizo megawat ungezalisha kwa sh ngapiTrilioni 7 kugenerate 2115MW ni hasara....TUMEPIGWA.
Wapi nimesema HATUHITAJI hydro-power?!Ukweli una tabia moja; hautaki kudharauliwa. Ukijaribu kupingana ukweli utakwama wewe mwenyewe. Kama na wewe unaamini kuwa hatuhitaji hydro power basi hujui maana ya hydro power.
Hivi issue ni ukubwa wa eneo au demand and supply for energy?!Kuhusu Marekani, elewa kuwa ni eneo zaidi ya mara hamsini ya eneo la tanzania, na matumizi yao ya umemi ni makubwa zaidi ya mara mia ya yale ya Tanzania. Kwa hiyo hawana chanzo kimoja cha umeme, lakini kumbuka walianza na Hoover Dam kulisha umeme state zote za Magharibi ya marekani, na bado inafanya kazi mpaka leo.
Mimi kwa kweli nachanganyikiwa, sasa huko inakopita mito, watu walikuwa wanatumia hayo maji ya mto, kwa kilimo, na kukidhi maisha yao ya kila siku kwa miaka karibia yote hata kabla ya Uhuru. Sasa leo wazuiwe kutumia maji, wataishije? Maelekezo mengine kwa kweli mhhhh......Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Yale mabilioni aliyotia chato Airport tuambie faida yakeWabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
No bro magu alilazimisha tu huu mradi na alielezwa vizuri sana sasa a ha tu serikali iendelee naoWabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Ninacho kiona mimi ni as if kuna mkakati fulani unasukwa wenye lengo la kutaka ku-demonise Magufuli - come rain or shine - mara utasikia wanalalama eti mbona mradi wa umeme umechelewesha kwa zaidi ya mwaka plus,yaani tunajifanya hatujui kwamba COVID-19 ilichangia katika kuchekewesha miradi mingi Duniani sio Tanzania peke yake.Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Vipi kuhusu miradi ya umwagiliaji na kuhifadhi maji kwa ajili ya kusambaza Dar in case of water shortages....Wapi nimesema HATUHITAJI hydro-power?!
Kama ningekuwa sihitaji hydro-power how come nizungumzie suala la energy mix?
Nakushangaa wewe na uelewa wako wote lakini bado unaamini kwavile panajengwa Bwawa la Nyerere, basi miradi mingine isifanyike, na ikifanyika inakuwa na lengo la kumhujumu JPM....
LNG Project is more economically viable kwa sababu inaweza kutupatia KILA KITU tutakachopata kwenye Bwawa la Nyerere lakini Bwawa la Nyerere haliwezi kutupatia kila kitu kinachoweza kupatikana through LNG Project, kwa sababu, mbali na umeme... what else?!
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Na yeye alikuwa mis informed, umeme wa maji dunia ya leo sio wa kuutegemea .
Sidhani chochote kwa sasaKuna taarifa au habari iliwahi andikwa na kusemwa kuwa, waziri wa kwanza kupewa ulinzi mkali na raisi alikuwa JPM, pia awamu fulani, aliandika barua ya kujiuzulu, ikakataliwa na pia hakufukuzwa kazi.
Sijui ukweli wa hizo taarifa, we unadhani inaweza kuwa kweli?
Aliyemsahuri akajenge Chato aiport kwamba itakuwa ni feasible project alikuwa mzungu?Misinformed by who? Wazungu? Hawa wanaosema ndio waliovumbua mlima Kilimanjaro na Ziwa Victoria au?