Jiulize aliyekuwepo alijali mwendelezo wa miradi na maslahi ya taifa au alibuni miradi yakeHuyu ni ile familia ya wapigaji wa gas, ambao sasa hivi anafanya mbinu za kuchelewesha na mwishowe kuua kabisa mradi wa hydropower. ndio ubovu wa nchi zinazojiendesha kibinafsi zaidi kiasi kuwa kila kiongozi anapoingia anaanza mambo yake binafsi bila kuangalia masalahi ya taifa.
Aliendeleza Miradi yote aliyokuta, hata ile ilikuwa hoi bin taaban aliifufua na kuimalizia, kwa terminal 3 ilikuwa katika hali ngumu sana wakati anaingia, lakini aliimalizia. Kuna mradi mmoja tu ambao ulikuwa haujaanza, uliokuwa bado kwenye majadiliano ndio hakuendeleza akitaka majadiliano zaidi, yaani huo wa Bagamoyo ambao nadhani ndio unaolilia. Siyo serikali imeshaweka pesa kwenye mradi fulani halafu anakuja mtu anasema yeye hautaki mradi huo, na kuuacha ufe.Jiulize aliyekuwepo alijali mwendelezo wa miradi na maslahi ya taifa au alibuni miradi yake
Vipi Samia nae akibuni ya kwake
Labda ushirikiane nao kuloga. Mvua kuchelewa kujaza bwawa si hoja sana litajaa tu hata wazungu waloge nawe pamoja. Bwawa huwa halijazwi kwa msimu mmoja ni mingi ili uruhusu maji yaendelee kutiririka kuhakikisha shughuli za kilimo nk zinaendelea upande wa chini wa bwawa. Bwawa la 3 gorges la china walipiga kelele sana ambalo lilihusu hata kuhmisha binadamu lakini limekamilika na linaendelea kujazwa maji na kuanzakuzalisha umeme kwa vinu vichache. Ethiopia nako vivyo hivyo. Waethiopia wanagombana na watumiaji wa mto Nile wanaotegemea maji toka huko. Je unajua ktk mto CONGO kuna mradi wa kuzalisha umeme mwingi wa kutosheleza mataifa mengi yanayoizunguka? LAKINI MRADI UNAZUZUA KWA AJILI USIKAMILIKE NA KUSAIDI MATAIFA KUKUA KIUCHUMI.Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP?
View attachment 2012229
Usilinganishe ruvu na Rufiji. Rufijini na issue nyingine.. Kama unabisha nenda pale Rufiji daraja la Mkapa halafu jizamishe uone kina cha maji yanayopita.
Shikilia hapo hapoSidhani chochote kwa sasa
Vuta subra soon utajua...Wanavurugaje
Nakumbuka mbunge mmoja huko mjengoni alisimama na kutoa dhana ya energy mix lakini alishambuliwa kama mpira wa kona na kwa kiwango cha kudhalilisha utu wake, usomi wake na hata uheshimiwa wake. Wakati kauli za kumdhalilisha zikitolewa yalipigwa makofi ya kutosha (kugonga meza) kuunga mkono kauli hiyo ya udhalilishaji. Clip hiyo inaweza kupatikana kwenye maktaba ya jukwaa hili kwa rejea. Sina uhakika kama mdhalilishaji alikuwa anaelewa somo. Hilo nimepita. Sasa na wewe unaleta hoja ya gesi asilia kuwa mwarobaini. Sasa tuelewejeMkuu usifanye kama unaijua Rufiji pekee yako...ukweli gesi ndo suluhisho japo bei ila maji tumepoteza pesa nyingi sana kwa mradi wa miaka michache
Reactive approach.Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP?
View attachment 2012229
Hapa ndipo utajua namna binadamu tulivyo na tabia ya ubinafsi..wewe kwanza, kwemu kwanza wengine wasubiri.Kama alijua alishindwa kuwa tambua kuwa uwanja was ndege Chato na mbuga za wanyama Burigi,no mradi was kijinga ....hili nalo linawezekana!
Ktk nchi maskini Kama Tanzania unaleta treni ya umeme.
Ndivyo itakavyo kuwa Bwawa la Umeme!
Kiukweli jiwe ametuingiza chaka lenye siafuUnaacha technologia current ya kauzalisha umeme ww unarudi miaka 100 nyuma kutumia hydroelectric power.
Sahihi kabisa pale Rufiji kiangazi maji yanapungua sana hata kwa miguu unatembea, sema tatizo mamba tuu. Kosa kubwa lililofanywa na awamu ya tano ni kutelekeza mradi wa gesi kuzalisha umeme. Mabwawa ya maji na huu ukame unaokuja tutapata tabu sana....watu wajiandae na kununua solar tuu.Pale maji hubaki kama mfereji tu kiangazi.
Huwezi tegemea umeme wa maji huku ukiharibu miti/mazingira.
Haya hiyo rufiji tutakuja kuambiwa kina kimepungua.
Nimekaa mikoa ya kusini for more than 5 years, nimevuka Rufiji tangia enzi za pantoni mpaka kwa mtumbwi pale pantoni inapozingua, na sasa daraja limeisha. Kipindi cha kiangazi maji hupungua sanaa, na sehemu nyingine unakatiza maji ya magotini. Pia miaka ya karibuni mafuriko ya mifugo ndiyo yamezidisha uharibifu kwenye huo mto. Hivyo hiki kiangazi kikikomaa mpaka mwakani na mvua za maana ikawa hakuna hali itakuwa tete sana.Mto Ruvu hauna uhusiano wo wote na mto Rufiji. Mto Rufiji ndiyo mto mkubwa na mrefu kuliko mito yote nchini Tanzania na hata siku moja haujawahi kupungukiwa maji. Pale kwenye Stigler's gaudge ya mto huu ndipo tunajenga JNHPP. Great Ruaha ni moja ya tributaries zake kubwa. Mto huu haupitii DSM bali Mafia mkoani Pwani maili takribani 200 kusini ya DSM.
Wewe si uelezee alichofanya mkuu?Kuna watu huanzisha mada ili mradi kuonesha Magufuli hakufanya lolote, haya hongereni sana.
Muunganiko uko. Heading imendaliwa na Makamba na mtirirko wa habari umeandikwa na kibaraka wake. Kwa kifupi kuna kampeni kubwa sana ya kutaka kuonyesha kuwa huo mradi haufai. Na mhusika mkuu ni hii awamu ya tano ya ''mshikizo'' ambayo inajiita awamu ya sita.Najaribu kupata muunganiko wa heading na mtiririko wa habari yenyewe nakosa.Labda sijaelewa kwa sababu ya ugumu wa bichwa mlio elewa msaada tutani!
Wew nae na kingereza chako cha pre form one...hovyo kabisa.Effects of climate change are real and devastating indeed. Kujipa moyo kwamba ukame hautatokea ni sawa na kuchamba kwa kiganja bila maji huku ukiamini kwamba unajisafisha.
Kwahiyo hapa ndipo ulipoishia uwezo wako wa kufikiri, sio?!Umepoteza muda bure kuandika gazeti hili. Kama lengo la serikali ni LNG, ili watu wapige, basi iwe hivyo. Hydropower itanyima watu upigaji.
Hivi ni wapi nyie watu paliposemwa Mradi wa Bwawa la Nyerere haufai?Muunganiko uko. Heading imendaliwa na Makamba na mtirirko wa habari umeandikwa na kibaraka wake. Kwa kifupi kuna kampeni kubwa sana ya kutaka kuonyesha kuwa huo mradi haufai. Na mhusika mkuu ni hii awamu ya tano ya ''mshikizo'' ambayo inajiita awamu ya sita.
Hivi ni nani mjinga kati yangu na wewe?Hivi ndugu yangu, ni kwamba hujui kuwa ni kuna bwawa la kuhifadhi maji linajengwa sambamba na na mitambo ya kuzalisha umeme kutoka kwenye hilo,
Au unamaanisha umeme utazalishwa mojamoja kutoka maji ya mto,
Nini maana ya bwawa.
Leo Leo tunategemea upungufu wa maji Dar kutokana na kutegemea maji ya mto yanayotiririka badala ya kuwa na bwawa la kuhufadhi maji kwanza,
Ujinga mtupu
Umewasome Misukule wenzako wanavyotoka povu baada ya kusikia majuzi kulikuwa na taarifa za mkataba wa Trillion 70?!Wewe ndio msukule!
Nani kasema mradi wa gesi usiendelee?
Hebu nioneshe!
Mleta mada na nae ni msukule vile vile kama ulivyo wewe, maana kichwa cha habari na kilichopo kwenye mada yake ni vitu viwili tofauti