Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

Kwa dar siwezi endesha mkuu wala sina huo ujanja wataniua
kama huwezi kuendesha unakodi guta unaelekea stendi ya basi za kwenda Iringa unalipia mzigo unabaki na tiketi yako( ushauri kama utatumia basi tumia kampuni zenye huduma bora usipakie kwenye kampuni zinazopumulia mashine maana hata wakiiharibu au chochote kikitokea watakuzungusha sana)
 
Vip abood
 
Yupo ila sijui kama anaweza endesha chuma maana jamaa ni muuza nyama Buchan
akusindikize(kwanza atakusaidia wasije wakakuzonga ukauziwa mbuzi kwenye gunia au wakakutyme wakupore) alafu mtaomba hapo ofisini mnaponunulia awape kijana awapeleke shekilango, Dar hakishindikani kitu ni hela yenu tu.
 
akusindikize(kwanza atakusaidia wasije wakakuzonga ukauziwa mbuzi kwenye gunia au wakakutyme wakupore) alafu mtaomba hapo ofisi mnaponunulia awape kijana awapeleke shekilango, Dar hakishindikani kitu ni hela yenu tu.
Hua nawaza jamaa wana pikipiki kama zote hua wanazitoa wap sijui japo wanasema ziko full registered
 
Hua nawaza jamaa wana pikipiki kama zote hua wanazitoa wap sijui japo wanasema ziko full registered
Dar ndo soko la pikipiki used zipo sana maana Bodaboda ndo biashara ilipo kubwa so wakimaliza mikataba wanaziuza kwa hao madealer alafu madelear wanaziuza tena kwa wateja wanaoshindwa kununua mpya wanataka za used.
 
Back
Top Bottom