jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
And now we know where the real power is.Hao nanabii wenu ni vile tu mmefungwa macho na ufahamu lakini kutwa kuchwa usiku na mchana ni vikumbo kwa waganga.
Mana hawakufika huko bure bure...waliona huku waliko ni maneno ma tupu ila vitendo sefuri.
#MaendeleoHayanaChama