Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Inategemea na Balozi mkuu, kuna ambao janjajanja hakuna mfano hawa U.k au U.S embassy hasa US. pale hata kama unajuana na Balozi huwezi kuingia kijanja janja.
 
Sio kweli.
 
Life too different Kama Mwalimu wa Tz anayeelipwa laki tano kwa mwaka anatengeneza mil 6 tu then Kuna watu scale zinasoma from 5mil na kuendelea inafikirisha Maisha hayana usawa that way ni ngumu Tz kumjua jobless na employed deu to the this meagre salary earning.
 
Inasikitisha bado kuna watu wanasema hiyo 5.3M ni kidogo.

Huyo Mwalimu anayelipwa 500k bado anafanya kazi zaidi ya Saa 40 kwa wiki.

Huyu wa 5.3M mara kumi zaidi ya Mwl anafanya kazi kwa Saa 36 tu kwa Wiki.
 
Inasikitisha bado kuna watu wanasema hiyo 5.3M ni kidogo.

Huyo Mwalimu anayelipwa 500k bado anafanya kazi zaidi ya Saa 40 kwa wiki.

Huyu wa 5.3M mara kumi zaidi ya Mwl anafanya kazi kwa Saa 36 tu kwa Wiki.
Tatizo sio watu ni kuishi katika nchi masikini
Ndo maana hapa Tz hiwezi mjua Mtu mwenye Kazi na ambaye Hana wote Maisha Magumu wachache ndo wamebahatisha Sehemu nzuri wanalamba Asali

Mil 5 ndo mshahara sahihi wa Mtu kuishi vizuri sema to basi nchi yetu masikini mishahara mizuri wanalipa wao Viongozi tu
 
Viongozi wa ngazi za juu kidogo.
 
Hapa JF ndoo huwa naikubali kwa kuchangamsha

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…