Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

UK embassies and High Commission world wide kwa locals wanalipa salary ndogo sana. Hizi balozi taabu kweli, maana kazi ndogo ndogo unaweza kuta kapewa mtu wa kwao, ila salary ya mtu wa kwao hapo utakuta $ 20,000 per month ( Salary + allowances inclusive) Ila Locals tena professional ndio $ 2,000 basi..!!
Sasa si wamechunguza wameona hio pesa ndio mnastahili kwa akili zenu zilivyo fupi. 🤣 Maana scale za mameneja wa ofisi za serikali nyingi ndio zinachezea humo humo.

Kimsingi huwezi kuta mzungu analipwa hela ya kijinga humo. Ni sisi tu ngozi nyeusi tunabaniana.
 
Sahihi unajua kwann niliondoka huko kote nimeanza kufanya Kazi NGO 2008 and toka 2008 nimefanya kwenye NGO zaidi ya tano Hadi naacha ajira,kwa taarifa yako heifer nilipata issue Ni salaries danida nilikosa kazi ,kwenye hizi ngo the way unavyomove ndio salaries inaongezeka ,mfano 2009 na Tisa my salary was 700k,next move nilikwenda kuchukua 1.2M nilimove Tena to 2.6M
Naweza kusema nimekulia kwenye hizo NGO kwa kipindi kirefu
Hadi 2011 Mwezi wa 11 ulikuwa huna kazi, umeomba kazi ukawa waulizia Interview lini kuwa hali ni mbaya mtaani na wategemewa na familia.
Sasa iweje useme ulikuwa umeajiriwa 2008?
 
Hadi 2011 Mwezi wa 11 ulikuwa huna kazi, umeomba kazi ukawa waulizia Interview lini kuwa hali ni mbaya mtaani na wategemewa na familia.
Sasa iweje useme ulikuwa umeajiriwa 2008?
Ogopa Mungu na Technology.
Jamaa ana sound za kitapeli!!
 
Huyu hadi 2015 anaulizia interview.
Huwezi kuwa kwenye mshahara wa 3.9mil afu waulizia interview ya Agakhan, Mara NAOT, mara Heifer, DANIDA
Umeona sasa, halafu hapa analeta nyenyenye...
mtu yeyote humu mtandaoni anayetaja Mshahara wake, jua tu ni limbukeni...
 
Huyu hadi 2015 anaulizia interview.
Huwezi kuwa kwenye mshahara wa 3.9mil afu waulizia interview ya Agakhan, Mara NAOT, mara Heifer, DANIDA
Basi sawa huyu Mwamba Mwana Mnyonge ni Mnyonge kweli.

Endelea, kupambana mkuu unaweza toboa tu ila usijikuze sana utakosa fursa zilizo kwenye hadhi yako.

Anyway chance hiyo kwenye Tangazo, endapo utahitaji msaada namna yakujaza hizo essay kwa ufasaha usisite kuomba msaada.
 
Huyu hadi 2015 anaulizia interview.
Huwezi kuwa kwenye mshahara wa 3.9mil afu waulizia interview ya Agakhan, Mara NAOT, mara Heifer, DANIDA
Boss umeshinda nilikuwa Sina kazi na sijawahi kuajiliwa bado natafuta kazi
 
Basi sawa huyu Mwamba Mwana Mnyonge ni Mnyonge kweli.

Endelea, kupambana mkuu unaweza toboa tu ila usijikuze sana utakosa fursa zilizo kwenye hadhi yako.

Anyway chance hiyo kwenye Tangazo, endapo utahitaji msaada namna yakujaza hizo essay kwa ufasaha usisite kuomba msaada.
Bosi nilipofikia sio wa kuomba kazi kwa mtu hiyo kitu nilishaacha kitambo sana hata vyeti sijui vipo wapi
 
Mi nimeamua kufatilia profile yake nikaona mengi.

Maana mwisho nimeona anasema ana mtaji wa 15mil anataka aanze duka la spare.
Unajua ilikuwa mwaka gani huo naanza spare na Sasa hivi unajua Nina biashara gani ,endelea kukalili hivyo hivyo
 
Huyu hadi 2015 anaulizia interview.
Huwezi kuwa kwenye mshahara wa 3.9mil afu waulizia interview ya Agakhan, Mara NAOT, mara Heifer, DANIDA
Kaka mbona haujasema kuhusu Oxfam gb wakati pia niliwahi kuulizia hiyo 2011,vipi kuhusu WWf mbona pia haujasema hiyo nayo 2011 ,vipi kuhusu board ya mikopo,vipi kuhusu pspf umeongelea za national audit ambayo pia ilikuwa 2011,

Issue Ni hivi nipo kwenye game ya ajira kitambo but ajira kwa Sasa sio sehemu yangu ,
Nilimtafuta mtaji nikapata nikaachana na ajira ,na Kama umefatilia profile yangu najua utakuwa unaelewa status yangu
 
Kaka mbona haujasema kuhusu Oxfam gb wakati pia niliwahi kuulizia hiyo 2011,vipi kuhusu WWf mbona pia haujasema hiyo nayo 2011 ,vipi kuhusu board ya mikopo,vipi kuhusu pspf umeongelea za national audit ambayo pia ilikuwa 2011,

Issue Ni hivi nipo kwenye game ya ajira kitambo but ajira kwa Sasa sio sehemu yangu ,
Nilimtafuta mtaji nikapata nikaachana na ajira ,na Kama umefatilia profile yangu najua utakuwa unaelewa status yangu
Umepita kwenye hivyo vi NGO ndio maana umekariri mengi
 
Umesema Afisa wa kawaida which means ni Tax Officer, Custume Officer, Ambaye anakua chini ya Managar wakitengo husika!!

Lakini ukisema 5M ni salary za wakuu wa Idara...

JWTZ nako sio kwamba wana Salary kubwa sana
1. Luteni Usu
2. Luteni
3. Captain
4. Meja
5. Luten Kanali
6. Kanali
7. Brigadia General
8. Meja General
9. Luteni General
10. General
11. Field Mershal

Salary ya CDF haifiki hata 20M kwa taarifa yako sasa
Hawa jamaa ndowanaongoza kwa mishahara mikubwa na posho za kufa mtu hapa nchini kwetu
 

View Vacancy - Senior Programme Manager (04/23 DAR)​

The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all backgrounds. We do not discriminate on the basis of disability, race, colour, ethnicity, gender identity, religion, sexual orientation, age, veteran status or other category protected by law. We promote family-friendly flexible working opportunities, where operational and security needs allow.

Job Category
Foreign, Commonwealth and Development Office (Policy & Political roles)
Job Subcategory
CSSF (Conflict, Stability and Security Fund)
Job Description (Roles and Responsibilities)

Main purpose of job:
The Conflict, Stability and Security Fund (CSSF) provides development and security support to countries at risk of conflict or instability. The CSSF is a flexible fund which supports and delivers security, defence, peacekeeping, peace-building and stability activity in over 70 countries using both Official Development Assistance (ODA) and non-ODA funding.

The East Africa CSSF Team manages a portfolio which supports a more stable, secure, prosperous and better governed East Africa region, whose countries are better able to address their demographic, security and economic development challenges. In this role you will have the opportunity to shape the future direction of CSSF engagement across East Africa, working with colleagues across the region.

The post will be based in Dar es Salaam, and will require regular travel to Mozambique and Nairobi. You will join a friendly and supportive team and benefit from regular engagement with senior colleagues who oversee our work. East Africa CSSF is looking for an experienced programme manager to support the delivery of a busy CSSF portfolio with lots of senior interest. You will work with the Head of team to; ensure the portfolio aligns with HMG strategic objectives and adheres to programme management best practice and; build and develop the capacity of the team and HMG colleagues to deliver strong programme outcomes for HMG.

The successful candidate will lead the effective delivery of CSSF East Africa programmes in Mozambique and Tanzania, with particular responsibility for the £5.3m Mozambique-Tanzania Borderlands project, ensuring delivery aligns with HMG strategic objectives in East Africa and CSSF best practice, monitoring and supporting delivery against project outcomes, ensuring robust risk management and effective working relationships with internal and external partners.

Roles and responsibilities:
The overall purpose of the job is to ensure effective implementation of the Mozambique-Tanzania Borderlands project, working with external partners and working collaboratively with colleagues based across the Tanzania, Mozambique and Nairobi Missions and the wider CSSF network.
The role requires a combination of programme management, conflict/PVE technical expertise and stakeholder engagement skills, to achieve:
  1. Programme delivery: apply CSSF programme management principles to ensure effective implementation of the borderlands project through downstream delivery partners. Apply conflict/PVE technical expertise and knowledge of the borderlands to support high calibre delivery. Ensure Gender Equality Act compliance and support CSSF ambitions on gender and social inclusion. Working with finance colleagues. ensure contract and finance management of the Borderlands programme; ensure VFM throughout programme cycle, including through accurate forecasting and reporting of spend, asset management, timely payment of invoices/claims, and timely submission of financial reports in line with CSSF guidance.
  2. Monitoring and Evaluation (M&E): monitor and evaluate the effectiveness of projects, through liaison with our external M&E partners and regular engagement with implementers and visits to project activity; make sure all project activity has a results framework which clearly articulates outputs, against which progress can be measured and reported; support evaluation work across the programme in line with the CSSF annual review schedule.
  3. Stakeholder Management: develop excellent working relationships with external stakeholders and implementing partners to ensure the successful implementation of the programme. Develop a network of contacts across the BHC Dar es Salaam, Maputo and Nairobi to ensure coordination with key partners. Develop and maintain strong relationships with implementing partners in regional offices and HQ in line with agreements and best practice stakeholder management to drive high quality performance and adherence to CSSF standards.
  4. Risk Management: systematically manage risks to programme and portfolio delivery; work with implementers to identify and measure the impact of specific risks, and agree and implement mitigating actions; work with implementers to measure the impact of those mitigating actions, and, where necessary, escalate concerns to the appropriate level.
  5. Corporate: contribute to the effective management of the East Africa Team; share and store programme document/information in line with team guidelines; represent the team and wider CSSF in internal and external partner meetings, where appropriate.
  6. Compliance: ensure that programme development and delivery is compliant with rules and regulations on Overseas Development Assistance as well as the internal guidelines for the Conflict, Security and Stability Fund (CSSF); support in the generation and collation of information and documentation for annual reviews and audits in line with contracts.
Resources managed:
£5.3m programme budget
Essential qualifications, skills and experience
  • Experience of project and programme management of complex projects operating in challenging contexts, including risk management skills, with a proven ability to track spend and report against milestones.
  • Technical expertise on conflict prevention, PVE and understanding of dynamics in the borderlands.
  • Able to work well independently as well as part of a team, and multi-task. Have the energy to drive forward priorities at pace.
  • Willingness to travel to the border area, Nairobi and Mozambique.
Language requirements:
Language: English
Level of language required: Fluent
  • Excellent oral communication skills in English and Kiswahili. The successful candidate will have an excellent command of written and spoken English and be able to present complex ideas clearly in briefings and meetings. Ability to speak Portuguese is desirable.
Required behaviours
Making Effective Decisions, Delivering at Pace, Communicating and Influencing, Working Together
Application deadline
10 May 2023

Grade
Higher Executive Officer (HEO)
Type of Position
Fixed Term

Duration of Post
36 months
Region
Africa
Country/Territory
United Republic of Tanzania
Location (City)
Dar Es Salaam
Type of Post
British High Commission

Salary
TZS 5,348,002.39

For More Details and Application
Bonyeza Link Hapa Chini.


Hii kazi inamfaa January Makamba na Degree yake Conflict Resolution huku kwa Uwaziri ni oversized!!
 
Back
Top Bottom