Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

Ajenda za chuki na kuleta mgawanyo wa Nchi zimekemewa na kutolewa Onyo Kali na Rais wa Zambia.

Hapa Tanzania naona Machadema wanachekewa sana
 
Huu ni uzushi ,una uhakika VP amekuwa akienguliwa?
 
Hao watu wenu wameamua kwamakusudi kuchochea ajenda za chuki na Mgawanyiko wa jamii kwamba ndio ukosoaji.

Ukweli wanaufahamu ila wanafabya makusudi kabisa so badala ya kuwacheka wanatakiwa kushughulikiwa.
 
Kulikuwa hakuna haja kuanzisha cheo cha makamu wa Rais ingebaki tu kama awali makamu ni Rais wa Zanzibar na Waziri mkuu basi hata kama ingetokea Zanzibar inaongozwa na Rais kutoka chama tofauti.
 
Mpanga alikuwa WB
 
1. Je, si kwamba hiyo "constitutional hiararchy" ndiyo inapaswa iwe ni msingi wa kiprotokali ktk utendaji wa Rais wa kila siku....?

2. Unaposema "kumwakilisha Rais popote" inakuwa na maana gani hasa? Je, si kwamba yote hii sehemu ya utendaji wa Rais wa siku kwa siku...?

3. I understand, kwamba, ni kweli inaweza kutokea Rais amealikwa kwenye shughuli fulani huku kwetu Shinyanga. Kwa sababu hii au ile yeye in personal akashindwa kufika. Obviously, anaweza kumwagiza RC na pengine hata DC wa Moja ya wilaya Shinyanga kumwakilisha.

Vipi uwakilishi nje ya nchi..?
 
Sawa kabisa
 
Vijana wachukue desa
 
I. The constitution hierarchy applies in an event rais hayupo nchini, amepata incapacitation or when s/he is no more.
2. Rais ana mamlaka ya kumteua mtu yoyote kumwakilisha popote na sio lazima kwa mtiririko wa constitution hierarch, kuna baadhi ya nchi mabalozi wetu sio Watanzania. Si kila ziara za rais nje ya nchi ni official visit, rais anaposafiri nje ya nchi for official visit, asipokwenda ni lazima kuwakilishwa na constitution hierarchy, lakini kuna ziara za rais nje ya nchi, ni rais anakuwa amealikwa kwenye events, anaweza kumteua yeyote kumwakilisha.
3. You are very right.

P
 
Paskali, maelezo yako mengi kwa kiasi fulani fulani siyo ya kweli, unapotosha umma. Ni vyema ukasoma kwanza Nyaraka mbali mbali kuhusiana na suala hili ukianzia na Katiba ya nchi hii ya Tanzania, pamoja na Sheria zingine mbalimbali za nchi hii. Aidha, usome zile Sheria na/au Amri zinazohusu Mamlaka ya Rais wa nchi hii ili upate uelewa wa kutosha zaidi kuhusu suala hili.
2. kuna baadhi ya nchi mabalozi wetu sio Watanzania.
1. Je, Watu hao wanatambulika kuwa ni Mabalozi rasmi kabisa wa Serikali ya Tanzania kwa mujibu wa Mikataba ya Kimataifa??
2. Je wanazo sifa stahili za kuweza kuitwa kuwa ni Mabalozi halali wa Serikali ya Tanzania huko nje ya nchi kwa mujibu wa Vienna Convention???


Vile vile, Nakushauri usome ule Mkataba wa Kimataifa (Vienna Convention) ili kujijengea uelewa mpana zaidi kuhusu suala hili.

Aidha, Nakusaidia katika kukuwekea baadhi ya Nyaraka (PDF) kuhusiana na suala hili. Mwisho, , nakushauri pia kwamba uwe unafanya kwanza utafiti wako wa kina kabla ya kuamua ku-post mabandiko yako humu mtandaoni.

"No research no right to speak."
Mao Zedong.
 

Attachments

Ajenda za chuki na kuleta mgawanyo wa Nchi zimekemewa na kutolewa Onyo Kali na Rais wa Zambia.

Hapa Tanzania naona Machadema wanachekewa sana
Jibuni hoja nyie Wajinga, Vitisho havitakusaidieni, Mtaua Wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…