ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ajenda za chuki na kuleta mgawanyo wa Nchi zimekemewa na kutolewa Onyo Kali na Rais wa Zambia.Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani.
Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania amwakilishe Rais wa Tanzania?
View attachment 3083085
Hapa Tanzania naona Machadema wanachekewa sana