Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787]Duh...!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]Duh...!.
P
[emoji7][emoji7]Kuna vitu viwili kwenye mtiririko wa uongozi, kuna constitutional hierarchy ambapo Rais wa Zanzibar is nobody ndani ya mfumo wa utawala wa nchi,
No.1 ni Rais wa JMT
No.2 ni VP
No.3 ni PM
No.4 ni Spika
No. 5 ni CJ
Rais wa Zanzibar is nobody!, tena katiba ya JMT haiyatambui mabadiliko batili ya katiba ya Zanzibar yalifanywa 2010.
Lakini ki protocol
No. 1 ni Rais wa JMT
No. 2 ni VP
No. 3 ni rais wa Zanzibar
No. 4 ni PM
No. 5 ni DPM
No.6 ni VP 1 ZnZ
No. 7 ni VP 2 ZnZ
No.8 ni Spika
No. 9 ni CJ
No. 10 ni CDF
But when it comes kumwakilisha Rais popote, yeyote anaweza kuteuliwa hata wewe!.
P
Sawa mkuu wangu [emoji7]Umeandika ujinga tu
Kweli mkuu...Hao watu wenu wameamua kwamakusudi kuchochea ajenda za chuki na Mgawanyiko wa jamii kwamba ndio ukosoaji.
Ukweli wanaufahamu ila wanafabya makusudi kabisa so badala ya kuwacheka wanatakiwa kushughulikiwa.
Tatizo ni chawa wengi, kuna watu wengi wachumia tumbo tu pro Assad alikosea sana kusema 60% ni 99.9999999% ya wafanyakazi wa serikalini hawana uwezo ikijumuisha na taasisi zake zote.Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani.
Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania amwakilishe Rais wa Tanzania?
View attachment 3083085
....ni kujipotezea nguvu tu[emoji1787]Tanganyika ipo na kuna siku tutaidai
Hapa ndipo kwenye tatizo, kama hatukuungana na mambo yote, kipi kisababishe udhani ni sahihi MKAAZI ana haki ya kuiwakilisha nchi kwa ujumla wake?No. 3 ZnZ President
No. 4 PM
No. 5. DPM
No. 6 VP 1- ZnZ
No. 7 VP 2- ZnZ
Ujinga ni ujinga kwa watu wote wenye akili timamu. Mnaingiza mambo ya kipuuzi katika uongozi wa nchi, matokeo yake ndiyo hayo mnayo yashadadia sasa hivi.Kwako...kwako wewe ni ujinga mkuu wangu[emoji1787]
Mkuu Ndalilo, wewe ni miongoni mwa wana jf mnaopaswa kuelimishwa kuhusu uraia wa Tanzania vs ukaazi.Hapa ndipo kwenye tatizo, kama hatukuungana na mambo yote, kipi kisababishe udhani ni sahihi MKAAZI ana haki ya kuiwakilisha nchi kwa ujumla wake?
CCM ina Makamu wawili, kwanini chama kiwe na muundo unaoaminia muungano wa nchi mbili kisha kuwa na M/kiti wa Muungano ila serikali ni mbili tu?
Turudi hapa:
1. Raisi wa JMT ni lazima awe Mtanganyika.
2. Makamu wa raisi atakuwa ni raisi wa SMZ.
3. Waziri mkuu, ni lazima awe Mtanganyika!
Wakuu wa mikoa wote na Mawaziri wa wizara zote zisizo za muungano, ni marufuku WAKAAZI kukaa kwenye nafasi hizo.
Wilaya mpaka chini kule, ni marufuku WAKAAZI kupewa hizo nafasi.
Kuanzia Usheha mpaka juu, hakuna KICHOGO kushika!
Ardhi, MKAAZI mwenye nia ya kuwekeza aruhusiwe kuwekeza kama mwekezaji, kinyume chake, wakajenge visiwani!
Waliotaka pasi za kusafiria zitumike, zianze mara moja kwa pande zote mbili!
Niorodheshee mambo ambayo ni ya Muungano ambayo Hussein na dada'ake wanaweza kutuwakilisha huko kimataifa....! JMT kama federal haina namba moja kwa sasa!
DaaaahHapa ndipo kwenye tatizo, kama hatukuungana na mambo yote, kipi kisababishe udhani ni sahihi MKAAZI ana haki ya kuiwakilisha nchi kwa ujumla wake?
CCM ina Makamu wawili, kwanini chama kiwe na muundo unaoaminia muungano wa nchi mbili kisha kuwa na M/kiti wa Muungano ila serikali ni mbili tu?
Turudi hapa:
1. Raisi wa JMT ni lazima awe Mtanganyika.
2. Makamu wa raisi atakuwa ni raisi wa SMZ.
3. Waziri mkuu, ni lazima awe Mtanganyika!
Wakuu wa mikoa wote na Mawaziri wa wizara zote zisizo za muungano, ni marufuku WAKAAZI kukaa kwenye nafasi hizo.
Wilaya mpaka chini kule, ni marufuku WAKAAZI kupewa hizo nafasi.
Kuanzia Usheha mpaka juu, hakuna KICHOGO kushika!
Ardhi, MKAAZI mwenye nia ya kuwekeza aruhusiwe kuwekeza kama mwekezaji, kinyume chake, wakajenge visiwani!
Waliotaka pasi za kusafiria zitumike, zianze mara moja kwa pande zote mbili!
Niorodheshee mambo ambayo ni ya Muungano ambayo Hussein na dada'ake wanaweza kutuwakilisha huko kimataifa....! JMT kama federal haina namba moja kwa sasa!
Hakuna wa kumtingisha Mwenyekiti wa Chama cha Ccm iwe ni ndani ya Chama au nje ya Chama 😂👍🙏.
Msiwe na wasiwasi, huyu mama atakoma kuwa rais 2025.
Kwani Mpango bado yupo?
Yeye Zanzibar alikuaje autonomous state within state(which state?) na mwenzie akafa?ila Zanzibar ni an autonomous state within state
Afya yake wanasema siyo imara sana. Wanasema alishaomba kujiuzulu wakamwomba avute vute muda mpaka ifike wakati wa uchaguzi. Sina uhakika na uvumi huu.Dr Mpango ndiye makamu wa Raisi lakini badala yake Dr Mwinyi ndiye kila mara amekuwa akitumwa kumwakilisha Raisi badala ya Dr Mipingo wakati Dr Mwinyi ana kazi kubwa ya kuongoza visiwa vya Unguja na Pemba. Raisi mpe Dr Mpango heshima yake na Dr Mwinyi abaki kusimamia Zanzibar na mawaziri wake. Acha tabia ya kumuona kama vile Dr Mpango ni wa kwenda kwenye misiba tu
Uchawa umesababisha tutawaliwe na wazanzibariDr Mpango ndiye makamu wa Raisi lakini badala yake Dr Mwinyi ndiye kila mara amekuwa akitumwa kumwakilisha Raisi badala ya Dr Mipingo wakati Dr Mwinyi ana kazi kubwa ya kuongoza visiwa vya Unguja na Pemba. Raisi mpe Dr Mpango heshima yake na Dr Mwinyi abaki kusimamia Zanzibar na mawaziri wake. Acha tabia ya kumuona kama vile Dr Mpango ni wa kwenda kwenye misiba tu