Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

Kuna vitu viwili kwenye mtiririko wa uongozi, kuna constitutional hierarchy ambapo Rais wa Zanzibar is nobody ndani ya mfumo wa utawala wa nchi,
No.1 ni Rais wa JMT
No.2 ni VP
No.3 ni PM
No.4 ni Spika
No. 5 ni CJ

Rais wa Zanzibar is nobody!, tena katiba ya JMT haiyatambui mabadiliko batili ya katiba ya Zanzibar yalifanywa 2010.

Lakini ki protocol
No. 1 ni Rais wa JMT
No. 2 ni VP
No. 3 ni rais wa Zanzibar
No. 4 ni PM
No. 5 ni DPM
No.6 ni VP 1 ZnZ
No. 7 ni VP 2 ZnZ
No.8 ni Spika
No. 9 ni CJ
No. 10 ni CDF

But when it comes kumwakilisha Rais popote, yeyote anaweza kuteuliwa hata wewe!.
P
[emoji7][emoji7]
 
Hao watu wenu wameamua kwamakusudi kuchochea ajenda za chuki na Mgawanyiko wa jamii kwamba ndio ukosoaji.

Ukweli wanaufahamu ila wanafabya makusudi kabisa so badala ya kuwacheka wanatakiwa kushughulikiwa.
Kweli mkuu...

Ila katika kushughulikiwa sikuungi mkono kwani sijaelewa huo "ushughulikiaji"....
 
Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani.

Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania amwakilishe Rais wa Tanzania?

View attachment 3083085
Tatizo ni chawa wengi, kuna watu wengi wachumia tumbo tu pro Assad alikosea sana kusema 60% ni 99.9999999% ya wafanyakazi wa serikalini hawana uwezo ikijumuisha na taasisi zake zote.
 
Hivi VP yupo? Ni mimi simsikii ama coverage zake zimefifishwa ama yupo anapiga kazi za ndani tu.
 
No. 3 ZnZ President
No. 4 PM
No. 5. DPM
No. 6 VP 1- ZnZ
No. 7 VP 2- ZnZ
Hapa ndipo kwenye tatizo, kama hatukuungana na mambo yote, kipi kisababishe udhani ni sahihi MKAAZI ana haki ya kuiwakilisha nchi kwa ujumla wake?

CCM ina Makamu wawili, kwanini chama kiwe na muundo unaoaminia muungano wa nchi mbili kisha kuwa na M/kiti wa Muungano ila serikali ni mbili tu?

Turudi hapa:
1. Raisi wa JMT ni lazima awe Mtanganyika.
2. Makamu wa raisi atakuwa ni raisi wa SMZ.
3. Waziri mkuu, ni lazima awe Mtanganyika!

Wakuu wa mikoa wote na Mawaziri wa wizara zote zisizo za muungano, ni marufuku WAKAAZI kukaa kwenye nafasi hizo.

Wilaya mpaka chini kule, ni marufuku WAKAAZI kupewa hizo nafasi.

Kuanzia Usheha mpaka juu, hakuna KICHOGO kushika!

Ardhi, MKAAZI mwenye nia ya kuwekeza aruhusiwe kuwekeza kama mwekezaji, kinyume chake, wakajenge visiwani!

Waliotaka pasi za kusafiria zitumike, zianze mara moja kwa pande zote mbili!

Niorodheshee mambo ambayo ni ya Muungano ambayo Hussein na dada'ake wanaweza kutuwakilisha huko kimataifa....! JMT kama federal haina namba moja kwa sasa!
 
Kwako...kwako wewe ni ujinga mkuu wangu[emoji1787]
Ujinga ni ujinga kwa watu wote wenye akili timamu. Mnaingiza mambo ya kipuuzi katika uongozi wa nchi, matokeo yake ndiyo hayo mnayo yashadadia sasa hivi.
 
Hapa ndipo kwenye tatizo, kama hatukuungana na mambo yote, kipi kisababishe udhani ni sahihi MKAAZI ana haki ya kuiwakilisha nchi kwa ujumla wake?

CCM ina Makamu wawili, kwanini chama kiwe na muundo unaoaminia muungano wa nchi mbili kisha kuwa na M/kiti wa Muungano ila serikali ni mbili tu?

Turudi hapa:
1. Raisi wa JMT ni lazima awe Mtanganyika.
2. Makamu wa raisi atakuwa ni raisi wa SMZ.
3. Waziri mkuu, ni lazima awe Mtanganyika!

Wakuu wa mikoa wote na Mawaziri wa wizara zote zisizo za muungano, ni marufuku WAKAAZI kukaa kwenye nafasi hizo.

Wilaya mpaka chini kule, ni marufuku WAKAAZI kupewa hizo nafasi.

Kuanzia Usheha mpaka juu, hakuna KICHOGO kushika!

Ardhi, MKAAZI mwenye nia ya kuwekeza aruhusiwe kuwekeza kama mwekezaji, kinyume chake, wakajenge visiwani!

Waliotaka pasi za kusafiria zitumike, zianze mara moja kwa pande zote mbili!

Niorodheshee mambo ambayo ni ya Muungano ambayo Hussein na dada'ake wanaweza kutuwakilisha huko kimataifa....! JMT kama federal haina namba moja kwa sasa!
Mkuu Ndalilo, wewe ni miongoni mwa wana jf mnaopaswa kuelimishwa kuhusu uraia wa Tanzania vs ukaazi.

Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa Tanzania. Watanzania wote wa pande zote wana haki sawa za uraia wa Tanzania, ila Zanzibar ni an autonomous state within state ambayo wenye haki huko ni wakaazi only.

Hivyo Mzanzibari ana haki zote za Utanzania ikiwemo ajira na kushika positions zozote as Mtanzania.
P
 
Hapa ndipo kwenye tatizo, kama hatukuungana na mambo yote, kipi kisababishe udhani ni sahihi MKAAZI ana haki ya kuiwakilisha nchi kwa ujumla wake?

CCM ina Makamu wawili, kwanini chama kiwe na muundo unaoaminia muungano wa nchi mbili kisha kuwa na M/kiti wa Muungano ila serikali ni mbili tu?

Turudi hapa:
1. Raisi wa JMT ni lazima awe Mtanganyika.
2. Makamu wa raisi atakuwa ni raisi wa SMZ.
3. Waziri mkuu, ni lazima awe Mtanganyika!

Wakuu wa mikoa wote na Mawaziri wa wizara zote zisizo za muungano, ni marufuku WAKAAZI kukaa kwenye nafasi hizo.

Wilaya mpaka chini kule, ni marufuku WAKAAZI kupewa hizo nafasi.

Kuanzia Usheha mpaka juu, hakuna KICHOGO kushika!

Ardhi, MKAAZI mwenye nia ya kuwekeza aruhusiwe kuwekeza kama mwekezaji, kinyume chake, wakajenge visiwani!

Waliotaka pasi za kusafiria zitumike, zianze mara moja kwa pande zote mbili!

Niorodheshee mambo ambayo ni ya Muungano ambayo Hussein na dada'ake wanaweza kutuwakilisha huko kimataifa....! JMT kama federal haina namba moja kwa sasa!
Daaaah
 
.
Msiwe na wasiwasi, huyu mama atakoma kuwa rais 2025.
Hakuna wa kumtingisha Mwenyekiti wa Chama cha Ccm iwe ni ndani ya Chama au nje ya Chama 😂👍🙏

Hata wale wanaoonekana wana vijinguvu nguvu kidogo Wanalijua hilo !!😆🙏🙌👍

Labda mwenyewe aamue kwa hiari yake ya binafsi yake !

Ngoja Tusubiri tuone 🙏👍
 
Dkt. Mpango ndiye makamu wa Rais lakini badala yake Dr Mwinyi ndiye kila mara amekuwa akitumwa kumwakilisha Rais badala ya Dr Mipingo wakati Dr Mwinyi ana kazi kubwa ya kuongoza visiwa vya Unguja na Pemba.

Rais mpe Dkt. Mpango heshima yake na Dr Mwinyi abaki kusimamia Zanzibar na mawaziri wake. Acha tabia ya kumuona kama vile Dkt. Mpango ni wa kwenda kwenye misiba tu
 
Dr Mpango ndiye makamu wa Raisi lakini badala yake Dr Mwinyi ndiye kila mara amekuwa akitumwa kumwakilisha Raisi badala ya Dr Mipingo wakati Dr Mwinyi ana kazi kubwa ya kuongoza visiwa vya Unguja na Pemba. Raisi mpe Dr Mpango heshima yake na Dr Mwinyi abaki kusimamia Zanzibar na mawaziri wake. Acha tabia ya kumuona kama vile Dr Mpango ni wa kwenda kwenye misiba tu
Afya yake wanasema siyo imara sana. Wanasema alishaomba kujiuzulu wakamwomba avute vute muda mpaka ifike wakati wa uchaguzi. Sina uhakika na uvumi huu.
 
Dr Mpango ndiye makamu wa Raisi lakini badala yake Dr Mwinyi ndiye kila mara amekuwa akitumwa kumwakilisha Raisi badala ya Dr Mipingo wakati Dr Mwinyi ana kazi kubwa ya kuongoza visiwa vya Unguja na Pemba. Raisi mpe Dr Mpango heshima yake na Dr Mwinyi abaki kusimamia Zanzibar na mawaziri wake. Acha tabia ya kumuona kama vile Dr Mpango ni wa kwenda kwenye misiba tu
Uchawa umesababisha tutawaliwe na wazanzibari
 
Back
Top Bottom