Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Nani anakupa hizi taarifa?Muongozo uliotoka NBS ni kwamba,,Wasimamizi wa Sensa ni Walimu Wakuu na Waratibu wa Elimu Kata tu kwa kila kila Kata,,kwahiyo kama wewe sio mwalimu mkuu na umeomba nafasi ya usimamizi hesabia umeliwa kichwa[emoji2163][emoji1],,
NBS watatoa majina ya waliopita katika usahili muda wowote kuanzia sasa,na usahili utafanyika rasmi tarehe 19 July 2022.Leo wamemaliza vikao vya mikoa kwa baadhi ya maeneo yamebaki mambo machache tu.Ila kila kitu kipo tayari.[emoji857]
Kila aliyeomba nafasi asikae mbali na simu yake au kompyuta yake asubiri kuvuna alichopanda maana wakati wa mavuno umewadia..Naomba kawasilisha[emoji120]
Watakao simamia usaili ni akina nani?
Kimeumana. Mbona ni tofauti na pale juuuku kwetu mzigo tayari kwenu bado sioo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2291884
Hawa wazenjiKimeumana. Mbona ni tofauti na pale juu
Hizi mambo za kuwekana roho juu watu mnazipenda.uku kwetu mzigo tayari kwenu bado sioo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2291884
sioo utani masta hiyo ni kweli kabisaaHizi mambo za kuwekana roho juu watu mnazipenda.
sioo utani masta hiyo ni kweli kabisaa
Ndo muwe mnasema ni wapi?Tayari kimenukaView attachment 2291950
Mm niliomba nafasi ya ukarani hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ni kweli majina yametoka kwa baadhi ya kata.Ndo muwe mnasema ni wapi?
Utaratibu gani umetumika au unatumika huko ili na wengine wajipange.
Hii ya kusema kimenuka, oyaa mambo tayari, majina tayari nk..
Ndo inafanya jobless wengi kukosa fursa kwa kubaniana info ili tu aonekane ana info nyingi na watu kumzonga awaambie na wakati mwingine info zenyewe zinakua za uongo na anakufa na mafamba yake.
Haya tiririkeni hapa ..
Hii nimeipenda wamejitahidi kubalance, waajiriwa, waliojiriwa na waliojiajiliTayari kimenukaView attachment 2291950
π©π©π©π©π©π©Ile siku mkeka umetoka na jina lako halipo fomu lazima nitaichachana vibaya.
View attachment 2291814
Laki 5, here we go!View attachment 2291958